Hii ni 'pure class'...

Hawa spain wao walifurahi kwa miaka minne iliyopita lakini sasa unampata mpenzi baada ya wiki tu anakuchepukia, hapo utamsifu kwa lipi
 
Ndio maana linaitwa bara la ulaya na Afrika yetu..kibongobongo watu huwa hawakumbuki kushukuru hata kwa machache waliyofanyiwa zaidi ya milawama,fitna na laana juu! Btw-ni good lesson for us !! Thank you The Boss for this critical thinking!!
 
Last edited by a moderator:
Hawa spain wao walifurahi kwa miaka minne iliyopita lakini sasa unampata mpenzi baada ya wiki tu anakuchepukia, hapo utamsifu kwa lipi

Haki ya mungu nimeshindwa kujizuia kucheka
 
thnk you ccm kwa miaka 50 , mmejitahid sana ila uwezo ndo umefikia wap
 
asante michepuko yangu yote hasa ule wa tabata.kule tegeta na ule ukionipa vlak wa masaki xjausahau ule mbagala rang 3 pweza nlkula xana japo usaf wa mashaka.ntakusahauje wa karkoo it was beutful michepuko mengne nawashukuru hasa allen wa social network tanx was beutful time
 
unajua nini
watu huwa hatuna tabia ya kushukuru!
pengine hatujazoeshwa kushukuriwa
pengine hatujui namna ya kufurahia tulivyo navyo wakati huo
tunatumia muda mwingi sana kukosoa tuwapendao ,kwa hiyo the party haiwi appreciated hata wakati wa mahusiano!

lingine bossman,tafsiri ya mapenzi vichwani mwetu!hatuko wapana hatuna vitu vingi tunashare na tulio na mahusiano nao just sex!kiasi ikifail hiyo unakosa lingine la kusema ahsante!.........
narudi
 
Huu ujumbe mzuri sana kwa watu ambao mmeshamegana sana mkachokana mnaanza kuumizana kwa kuambiana mara huyu bwawa,mara huyu kibamia unasahau raha zote mlizokuwa mnapeana wakati huo.Shukrani sana kwa ujumbe murua.
 
Huu ujumbe mzuri sana kwa watu ambao mmeshamegana sana mkachokana mnaanza kuumizana kwa kuambiana mara huyu bwawa,mara huyu kibamia unasahau raha zote mlizokuwa mnapeana wakati huo.Shukrani sana kwa ujumbe murua.
Exactly watu mmechokana..haina maana kuumizana more..say thank you...it was good...adios..
 

Mkuu this is superb ......

Tatizo letu ni kuwa tumefundishwa kuangalia mabaya zaidi ya mema

Kwa Casilas kuifungisha timu kungetufanya kuyaona hayo makosa sana kuliko mchango wake kwenye Euro [2008],World cup [2010] na hatimae Euro tena [2012] tungemuona kama msaliti sana

Hebu tujifunze kutazama mema sana badala ya mabaya na tutaweza kusonga mbele!
 
Ngumy kuipraktizi iyo......

Tatizo letu kubwa linaanzia hapa

Unaweza kuwa tu bibie unasema ni ngumu wakati hata hujajaribu

Lakini hata kama umejaribu,kuwa ngumu sio kigezo cha kuacha

Hebu fanya bana ...!!
 
Lingine
hatujipi muda wa kuzisoma,kuzielewa na kuzipa upekee hizo the party
yani kwa kuwa hatukuweza kuona sabsbu.ya kusema ahsante in this party.tunaingia kwenye party nyingine tukiwa bitter!so hata hiyo party mpya iweje na istahili vip kuambiwa ahsante ikijiishia tunabaki kusema ah nilijua tu si ndo.. wale wale and the like!

lakini pia wengi hatujijui ujue
usipojijua huwezi kujua kipi nani yupi alifanya nini kuambiwa thank you!
laiti tungekuwa tunajijua aseeee we wud hsve known kuwa daaaaah bila huyu mwehu anayenikera hapa sa hiz kuna kipindi ningesahau kucheka ni tendo linalohusisha kiungo gani kwenye mwili!

ila kuna hii ya matarajio makuuuuuuuuuuuuubwa!tunategemea vitu vikuuuuuubwa mpk dah!
matokeo yake tunakuwa disappointed sana wakati tungeweka mategemeo kidogo or rather tungeacha vitu vikuwe tu vyenyewe mambo ya Kmamae zako kwanza we nae ni mwanamke wa kuwa na mimi(hhhahahhahaha ana mwaka wa5 na huyo mwanamke )yasingekuwepo!
 
Most oftentimes in life, the bad outweighs the good.

I don't know why that is but that's just how it is.

You can do a gazillion good things but that one bad thing you do will likely define you for the longest if not for the rest of your life.

C'est la vie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…