Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani?
Willibrod Slaa - CHADEMA (1544) 69.5%
Jakaya Mrisho Kikwete - CCM (568) 25.6%
Ibrahim Lipumba - CUF (95) 4.3%
Mutamwega Mugahywa - TLP (8) 0.4%
Hashim Rungwe - NCCR-Mageuzi (6) 0.3%
Number of Voters
: 2221
First Vote
: Tuesday, 12 October 2010 11:18
Last Vote
: Friday, 15 October 2010 09:59
Source: Kuongoza Tanzania 2010-2015 kura yako utampa nani?
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
Huna ubia na Mungu ya nini kutishia wengine.
Kama ni kufa hata wewe utakufa, pengine utatangulia kufa kabla ya huyo unayemtisha.
DR. SLAA FOR LIFE!!!!
Simtishi mtu nampa ushauri kijana asijejiingiza kwenye matatizo maana mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo kisheriaq anajulikana na si mtu mwingine.

Kinana bwana. Du haya. Tutampinga huyo uliyesema ana mamlaka ya mwisho ya wizi.
Soma 'source' siyo kupiga kelele tu.
si ndo yaleyale sitaki Kura zenu sijui mnaingiaje sasa!Hata usipompigia atashinda tu kura yako sidhani kama inaweza kubadilisha kitu maana hata 1995 haikubalisha kitu.
Soma jina la thread usiwe kama kipofu.
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
Kwani REDET na SYNNOVATE ni nec?
Hata usipompigia atashinda tu kura yako sidhani kama inaweza kubadilisha kitu maana hata 1995 haikubalisha kitu.
kumbe nyie mshashinda kwahiyo hamuitaji kura zetu sio
sasa mnahaha ni kuhaidi vitu vya uongo
pili hivi wewe huko poa kabisa ndugu yangu, yaani pamoja na kijiopportunity kidogo cha kuweza kujua walau mambo yanaendaje duniani kwa kuwa na access ya mtandao, ila bado unashabikia CCM? du kweli watu mko kwa maslai yetu na si yawatanzania ndugu
anyway ndo jinsi mlivyo, ila kazi mtaipata sana tarehe 31 October
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
Waliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.
Kwani REDET na SYNNOVATE ni nec?
mfuasi wa shekhe yahya kaziniWaliojiandikisha na tume ya taifa ya uchaguzi ni wangapi? na wangapi hawana access ya mtandao? usituletee matokea uchwara jua kuwa ni tume peke yake ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo. Na unachokifanya hapa ni kinyume na sheria. Angalia usije kuingia kwenye matatizo.