Hii ni njama madhubuti ya binamu na mumewe au?

Hii ni njama madhubuti ya binamu na mumewe au?

Jaman muwe mnajiongeza yan mtu chumba kimoja na nyie mnaenda hukohuko yan me huwa nashindwa kuelewa watu wenye tabia hizo
 
Mwambie Mwana asiwe na shaka kwani kitanda cha shemeji yake kinaonekana kina ringtone manake kukicha kinabadili mlio.
 
Mimi nimewahi pewa onyo usipende shobo sana kwenye familia ambapo ndugu zako wa kike wameolewa koz hizo komoa lazima uonyeshwe kama hujawahi pitia shukuru Mungu
 
mwana kama vp arudi mtwara tu,, mida ya korosho hii
 
Na bado mwana iyo Ni trela..mtu Ana room mbili Tu halafu wewe unafikia kwao na huna mpango wakuondoka

mtu mzima na ndevu una Lala kwenye Kochi , na Leo watafanyia hapo sebuleni utachagua kuangalia au kufunga macho

akufukuzaye hakwambii toka jiongeze mwana rudi Tu mtwara km ipo ipo Tu hata ukiwa uko utatoka tu
 
watu wanajipinda kutoa ushauri kama hawamjui seneta na stori zake
 
Hiyo namba 2 kajua aje? Watu na maisha yao wayabadili kisa mgeni?
 
mwana kama vp arudi mtwara tu,, mida ya korosho hii


Na bado mwana iyo Ni trela..mtu Ana room mbili Tu halafu wewe unafikia kwao na huna mpango wakuondoka

mtu mzima na ndevu una Lala kwenye Kochi , na Leo watafanyia hapo sebuleni utachagua kuangalia au kufunga macho

akufukuzaye hakwambii toka jiongeze mwana rudi Tu mtwara km ipo ipo Tu hata ukiwa uko utatoka tu
[emoji121]
ACHENI UJINGA!

HUYU MWANA NI WA #BUNDA,
NA SIO MTWARA.

BICHWA HIZO!
 
[emoji121]
ACHENI UJINGA!

HUYU MWANA NI WA #BUNDA,
NA SIO MTWARA.

BICHWA HIZO!
anapoishi sisi hapa tuhusu kikubwa Ni arudi alikotoka haihitaji hasira kiroho safi aondoke

MJINGA Ni WEWE na huyo mwana Wako aliye kusimulia siri za walio msitir
 
anapoishi sisi hapa tuhusu kikubwa Ni arudi alikotoka haihitaji hasira kiroho safi aondoke

MJINGA Ni WEWE na huyo mwana Wako aliye kusimulia siri za walio msitir
[emoji121]
MCHAWI!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Seneta Wa Mtwiz, huyu Mwana hana Adams Apple, mwanaume gani asiyejua kuweka siri? Hata akija kwako, ya kwako yote yatakuwa barabarani.
 
ulimi wa huyo jamaa yako ulikutolea udenda mwambie achukue leso ajifute yeye nimkubwa kwa sasa
 
Back
Top Bottom