Hii ni nguvu gani?

Una gundu,nenda kwa KARUMANZIRA lakini ujiangalie maana siku hizi amegeuka ,amekuwa kama wale wachungaji wenye kutafuna kondoo wao.
 
Una gundu,nenda kwa KARUMANZIRA lakini ujiangalie maana siku hizi amegeuka ,amekuwa kama wale wachungaji wenye kutafuna kondoo wao.
Hebu soma kwa makini nilichoandika wengi wamefikiri tofauti... Hao wanawake sio kuwa linatokea tatizo la hasha bali hutokea tu kuondoka na wengi wao tunaagana vizuri kabisa
 
acha uzinzi mkuu. acha kabisa. zibuka na usikie sasa, acha usharati
 
Mbona mnashindwa kuelewa nilichouliza? Hakuna niliposema wananikimbia
Swali lako limeeleweka vizuri kama ulivyo uliza, na unatakiwa uelewe kwamba nuksi sio lazima ugombane na mpenzi wako, kwanza anaye pata majanga ni mwenzako na sio wewe, kwako mambo yanakuwa poa tu ila mwenzako ndio anakuwa anapata majanga kila siku au baada ya muda fulani
 
Mbona mnashindwa kuelewa nilichouliza? Hakuna niliposema wananikimbia
Ndio kukukimbia huko hawataki kukutia tena machoni labda huwapi cha maana zaidi ya kuwapaka shombo unafikiri wataacha kukukimbia?
 
Naamini wengi mmekurupuka kuchangia nimesema wanaondoka kwa sababu zozote zile na si kwamba wananiacha au tunagombana
Umeshakua jiongeze,unafikiri watakwambia wamekukimbia?wanahisi wakikuambia shida yako utajidharau
 
Jf kuna mambo makubwa saaana!!! Mkuu achana na masemu hao,tafuta mke utulie na hapo ndo utajitathimin nn tatzo
 
Nauliza ni nguvu gani majibu ninayopata ni ya chekechea duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…