Hii ni nguvu gani?

Hii ni nguvu gani?

kizibo1

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
1,187
Reaction score
766
Imetokea si mara moja mbili au hata kumi, imekuwa ni kama uchawi sasa mwanamke yeyote nitakayetembea naye kama ni mpangaji mwenzangu hamalizi miezi mitatu lazima ahame nyumba kwasababu yeyote ile
kama ni barmaid hivyo hivyo kama ni house girl mule mule kama ni mfanyakazi ofisini ndio usiseme.

Nakaa na kujiuliza sana hii ni nguvu gani? Ni nzuri au mbaya?
 
Hatari...........nilisikia sehemu watu wazima walikua wanaongea wakasema kuna watu wana mikosi,au Gundu ukiwa nae
kama Biashara ita kufa kama pesa itaisha,sasa yako sijui niipi manake ndio kwanza nisikie ya kuhama nyumba..
 
Hilo ni gundu, una kimavi. Itafikia wakati kila mtu atakukumbia sio wanawake tu. Katafute machozi ya samaki na maziwa ya kuku uogee mara 3 kwa siku wataacha kukukimbia.
 
Una nusksi ndio maana, sasa dawa yake upate mwenye nuksi mwenzako, hiyo kitu ipo sawa kwa watu wengi,
 
Una gundu, au ni mawazo yako tuuuu, pengine wewe ni msumbufu wanaamua kukukimbia
 
Back
Top Bottom