Hii ni natural au ndumba!

BWamdogo ukiwa ofisini fanya kazi! Nchi yetu ina baki nyuma si kwasababu ya ccm tu, bali pia productivity kushuka kutokana na blah blah mingi kwa ofisi.

PakaJimmy bora umemwambia ukweli. Dogo anawaza ngono tu halafu baadae atashangaa kwanini mambo hayaendi anavyotaka
 
Ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye alikuwa anivutii ila yeye alionekana kuvutiwa nami ilikuwa nikiongea naye kikazi 'ballistic missile' yangu inaanza kushika kasi ya kuinuka lakini hali hii ilikuwa haitokei kwa wengine. Situation hii imechukua muda kidogo kiasi kwamba nikaamua kuwa nam-avoid huyo mwanadada. Ila baadaye ikawa hali hiyo imekwisha kabisa. Sasa najiuliza hiyo ilikuwa ni natural au ndumba!!!

Mwili unataka lakini nafsi inakataa....hilo ndio jawabu ya neno TAMAA au KUTAMANI
 
Mwezenu mie nishazoea kujionea viroja mpaka sasa nikiona mwanamke kakaa utupu naona ni ya kawaida tu.........
Hapa ofisini ninapofanya kazi ziko ubwete wanawake hawajui kujisitiri maungo yao kabisaaa

Uliza nafanya kazi gani.....................











Mie ni Swimming Pool Attendant.............................LOL

hahahahahaaaaaa.., mkuu hujatulia wewe..!
 
hivi ofsini kuna watu wanawaza mapenzi?..loh mbona dunia kubwa? mimi mapenzi na kazi yangu ni mbalimbali...sitokaa nijaribu hata kumwangalia mwanaume hapa...
hajatokea bado wa kukuvuitia hua haina simile hii yaani inakuja tu naturally unamzimikia mkaka wa ofisini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom