Hii ni mbaya zaidi......................... ..

mwambie huyo rafikiyo asome hii posti hapa chini. itampa mwongozo wa how to continue na kuokoa ndoa yake.
 
achunguze kwanza asiamini maneno ya kuambiwa,na akijua ni kweli akae na my wife wake,amuulize sababu ya kufanya hivyo coz inawezekana mwanaume akawa chanzo,tofauti na hapo atembee na vidonge vya presure tu!
 
Ingekuwa kwangu dah izo zarau apana nami navuta x wangu wa zaman .au ninge mwacha kabitha. Uyo gubegube unaniletea janaume ndani eti kah nafanya naye kazi mwe mwe ningekukata pua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…