Hii ni Laana

Hii ni Laana

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,062
Reaction score
168,724
67387_409174982508165_734785321_n.jpg
 
Laani kivipi wakati hiyo ni nyumba ya wageni iitwayo Haleluya!. Tena hata ingeitwa Mbinguni, Peponi etc ingekuwa poa tuu!. Tena ukifika ndani ya nyingi ya nyumba hizi, kile kitabu cha Maandiko Matakatifu kinachosambazwa bure na Wa Gideoni, utakikuta kila chumba, hivyo wageni wanapo "jipumzisha", hujipumzisha kwa baraka zote ambazo huchangia kuwapa ulinzi na kuamka salama ili wageni wengine waingie!.
P.
 
Mimi nilidhani neno HALELUYA ni sawa na neno BISMILLAH.
Hivi hiyo nyumba ingeitwa hivyo pangekalika hapo? siku ya pili tu ingekula kiberiti. :high5: takbirr :high5:
 
Lengo la guest house lilikuwa zuri kabisa ni kwa ajili ya kusaidia wageni wanaofika maeneo bila kuwa na wenyeji au sehemu za kujihifadhi usiku , lkn guest house zimegeuka nyumba za kufanyia zinaa na ndio maana Bujibuji anaona ni laana kuita haleluya!
 
Last edited by a moderator:

NATA asante sana kwa ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
haleluya au ni aleluya? au vyote kwa pamoja ni sawa?
 
Majina mengine ni hayastahili baadhi ya sehemu.....
 
Hayo maandishi na picha yamechomekwa hakuna uhalisia wa maandishi na picha angalia utagundua.Maandishi ya safari lager kulia ambapo kuna kona yenyewe hayajapinda kufuata ukuta hata chupa ya kushoto nayo imeshomekwa kwa "picha duka"

67387_409174982508165_734785321_n.jpg
 
tunaosema haleluya makanisani giza likiingia hua tunaenda huko kutenda mambo ya lana hivyo sio kosa kutuandikia hilo neno letu hapo.
 
Mimi nilidhani neno HALELUYA ni sawa na neno BISMILLAH.
Hivi hiyo nyumba ingeitwa hivyo pangekalika hapo? siku ya pili tu ingekula kiberiti. :high5: takbirr :high5:
ni suala la seriousness kwenye imani na siamini kuwa waumini wa kweli watakuwa less serious juu ya imani iwe dini yeyote!
 
Mimi nilidhani neno HALELUYA ni sawa na neno BISMILLAH.
Hivi hiyo nyumba ingeitwa hivyo pangekalika hapo? siku ya pili tu ingekula kiberiti. :high5: takbirr :high5:
Allah Akbar!!!!!!!!!!!!!
 
Eeee bwana mbona hii kitu haina madirisha? Maeneo ya baridi Njombe nini hii???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom