hii ni kweli

Sio ushujaa kumtia mimba hawala yako mjukuu wangu, mtie mimba mkeo. Naenda kulala, sina cha kuongeza wajukuu zangu.
 
Ngoja aje aambiwe akajitazamie afya yake na ikiwezekana aanze kutumia ARVs ndo atajua ye kamanda au la,amemkomoa dem au kajikomoa yeye,we na huyo jamaa ako u nid 2 growup alichokianzisha c ki2 kdg u r talkin bout lyf ya mtu (the child 2b born) bt naona mwaona km mwaenda kuchuma maembe!
Hata akija muacha hil doa alojitia litaathir maisha yake mpk kaburin, jaribun kuongea na wa2 wazma walofanya mistak km hz and c hw they wish if only they culd turn bak the hands of tym & chang everythng!
Strange eeh kumkomoa mtu ucyemtaka ni kumpa damu yako na kumfanya mzaz mwenzio 4 the rest of ur lyf!kwel mnawaza hamfikirii!
 
HoneyBee asante kwa kunisemea maanake nimeisoma thread nikabaki kinywa wazi kujua bado kuna watu ambao wanachukulia mambo so aesily like that,nimeshindwa hata niseme nini but for you actually you have hit the nail..........
Cutting off the nose to spite the face. Kwanini jamaa hakuweza kumtupilia mbali atulie na huyu aliyenae sasahivi? Yaani mwanamke anakuonesha kabisa kuwa hakujali wala kukuheshimu halafu unaenda kumtwanga mimba eti kumkomoa. Unajikomoa mwenyewe! Yaani huyu ndo unataka umgeuze kuwa housewife/baby mama? Na mpaka ikafika anataka kutoa hiyo mimba kweli huyo mtoto atakuwa salama akizaliwa? Chezea wanawake wa namna hiyo. Ukikuta kakuachia mtoto getini shukuru mungu. Wengine wanaweza kuamua kuua kabisa kukukomoa. I promise you mchezo bado haujaisha. She will have the final word. Jiandae kuwa na presha, mzee.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa yangu ana demu wake anampenda sana,pia ana wivu mbaya,kademu baada ya kulijua hilo kakawa kanamletea pozi sana mara kamwambie waachane,mara jamaa asijisumbue kwenda kujitambulisha ukweni,mara kambanie uroda,mara kazime simu wiki nzima,mara kasipokee simu basi tu ilimradi kamrushe roho kamanda,Jamaa mmoja akamshauri kamanda kwamba huyo dawa yake mjaze ujauzito atanyooka,dah kamanda akaanza kukomaa bwana at ze end demu kitu kimo mpaka sasa kina miezi minne,kalienda itoa ikashindikana,huwezi amini kidemu sasa adabu juu kanamganda kamanda aende jitambulisha,kanatishia kunywa sumu kama kamanda akikaacha na kanataka hamia kwa kamanda maana kanakaa kwao,na kwao mambo safi bt kamanda ni graduate anapiga biashara tu,wadau mnasemaje?

Mwanzisha mada wewe ndo muhusika unajifanya eti Kamanda wako...Halafu kama vile unatafura supporters wa u.fa.la wako.
 
Haaa dunia imeisha yaani mwanamke hampendi mtu anaenda kumpa hivi hivi hii zinaaa itaisha kweli.na huyo mwanaume mungu atamuonesha dunia kama ndo wewe lako ilo utalinywa
 
Back
Top Bottom