hii ni kweli

hii ni kweli

Inaonekana huyu jamaa ndo mwenye tatizo!imekula kwake! HUWEZI kutatua tatizo kwa tatizo!!
 
Haaa dunia imeisha yaani mwanamke hampendi mtu anaenda kumpa hivi hivi hii zinaaa itaisha kweli.na huyo mwanaume mungu atamuonesha dunia kama ndo wewe lako ilo utalinywa

haaa!haa! Na lazima atalinywa kweli anachezea majukumu huyu!
 
Point zako huwa ni za migegedo mara nyingi ndio maana leo ulivobadilisha hajaamini majicho maanake hajakutana na neno mgegedo kwenye hiyo quote yako.
hahaha wewe mie mbona natoaga point za maana tuu....
 
Point zako huwa ni za migegedo mara nyingi ndio maana leo ulivobadilisha hajaamini majicho maanake hajakutana na neno mgegedo kwenye hiyo quote yako.

haha yaani akute neno mgegedo ndio anajua ni mzabzab
 
Hivi mwenye uamuzi wa kubeba mimba ni mwanamke au mwanaume?????kama mwanamke hajawa tayari kubeba mimba anajua afanyeje, nadhani ilitokea kama bahati mbaya kushika ujauzito sasa jamaa anaona eti yeye ndo ali plan. Au inakuwaje hapa maana huwa siwaelewi wanaume wanavyo sema hivyo!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom