EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
Jamaa yangu ana demu wake anampenda sana,pia ana wivu mbaya,kademu baada ya kulijua hilo kakawa kanamletea pozi sana mara kamwambie waachane,mara jamaa asijisumbue kwenda kujitambulisha ukweni,mara kambanie uroda,mara kazime simu wiki nzima,mara kasipokee simu basi tu ilimradi kamrushe roho kamanda,Jamaa mmoja akamshauri kamanda kwamba huyo dawa yake mjaze ujauzito atanyooka,dah kamanda akaanza kukomaa bwana at ze end demu kitu kimo mpaka sasa kina miezi minne,kalienda itoa ikashindikana,huwezi amini kidemu sasa adabu juu kanamganda kamanda aende jitambulisha,kanatishia kunywa sumu kama kamanda akikaacha na kanataka hamia kwa kamanda maana kanakaa kwao,na kwao mambo safi bt kamanda ni graduate anapiga biashara tu,wadau mnasemaje?