Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
DNA ni molekuli inayo hifadhi taarifa za maelekezo mbalimbali ya kiumbe mfano rangi ya ngozi, urefu, aina ya nywele n.kMaalimu hebu fafanua basi maana wengine sisi GB na DNA ni misamiati tu!
DNA ni molekuli inayo hifadhi taarifa za maelekezo mbalimbali ya kiumbe mfano rangi ya ngozi, urefu, aina ya nywele n.k
A byte ni kipimo cha ukubwa wa nafasi ya taarifa fulani (data) mfano CD ile ya kuchoma (burn) inaweza kuwa na nafasi ya 700,000,000 bytes (kabla ya kuichoma). Giga ni kiwango cha ukubwa wa 1,000,000,000 (bilioni), kwahiyo GB ni bytes bilioni. Mega ni kwango cha ukubwa wa 1,000,000 (milioni).
15875GB ni sawa na CD 22679 na CD moja ina kipenyo cha milimeta 120 sasa kama tutazilaza hizi CD moja baada ya nyingine urefu wake utakuwa ni kama kilometa tatu (0.00012 x 22679).
Hitimisho
Kwahiyo mwanamupe anapo mwaga huwa wanatoa ukubwa wa data ambao kama ukiziweka kwenye CD na kuzilaza kwenye barabara, basi urefu wake utakuwa kilomita tatu. Hii ni kutokana na picha ya mzizimkavu.