HII NI KWELI KABISA NDUGU ZANGU JAMANi

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,305
2,000
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,139
2,000
Maalimu hebu fafanua basi maana wengine sisi GB na DNA ni misamiati tu!
DNA ni molekuli inayo hifadhi taarifa za maelekezo mbalimbali ya kiumbe mfano rangi ya ngozi, urefu, aina ya nywele n.k
A byte ni kipimo cha ukubwa wa nafasi ya taarifa fulani (data) mfano CD ile ya kuchoma (burn) inaweza kuwa na nafasi ya 700,000,000 bytes (kabla ya kuichoma). Giga ni kiwango cha ukubwa wa 1,000,000,000 (bilioni), kwahiyo GB ni bytes bilioni. Mega ni kwango cha ukubwa wa 1,000,000 (milioni).

15875GB ni sawa na CD 22679 na CD moja ina kipenyo cha milimeta 120 sasa kama tutazilaza hizi CD moja baada ya nyingine urefu wake utakuwa ni kama kilometa tatu (0.00012 x 22679).

Hitimisho
Kwahiyo mwanamupe anapo mwaga huwa wanatoa ukubwa wa data ambao kama ukiziweka kwenye CD na kuzilaza kwenye barabara, basi urefu wake utakuwa kilomita tatu. Hii ni kutokana na picha ya mzizimkavu.
 
Efeso

New Member
Dec 13, 2013
1
0

Dah! mbona inatisha. Kwahiyo moshi 3,3 km9
 
MjuviKitambo

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
700
1,000
Ndio maana tunachoka baada ya kamchezo...Tafuta na ile ya energy inatayotumika kudrive å single ejaculation
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom