KML
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 861
- 133
Alikuja geto kwangu siunajua tena kwa ngwea..mi nkawa nimetoka nje napiga stori na jamaa wake ye yupo room nimemuwekea CD kwenye deki anasikiliza nyimbo, ile CD ikapiga nyimbo hadi ya mwisho ikaisha bwana bwana shemeji kafungua deki akageuza cd upande wa pili akaweka, kuona haiimbi akaniita shemejiii, mimi naam, cd yako mbona haiimbi?? kucheki baba kageuza upande wa pili, kwa aibu nkaua soo.... dah ivi kweli adi saizi watu hawajui cd tena mtoto wa mjini kabisa