Hii ni kwamasingle wote

Tutakimbia ila mbususu hatuisusi, ikijileta tunaichapa shwashwa na kusepa na mia
 
Swali la kujiuliza huyo mtu mpya unampataje,ndege wafananao huruka pamoja hii kanuni ni muhimu usisahau.
Maana watu wapya ndio hao vijana,sasa ni kijana gani ambaye hana mtoto wala Mke anaweza kuchukua single mother?? .

Yani asiache kuchukua kijana mwenzake ambaye hajaolewa na hana mtoto amended kwa single mother aliyezalishwa-hata jamii itamushangaa na may be huyo kijana awe na utindio wa Ubongo.
 
Nani single mother mbona unakichaa wewe ndio unautindi wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…