Hii ni kwamasingle wote

Usipokua makini na hawa watu unaweza ujute maisha yako yote
Ndio unaweza ukajutia kuna mtu alienda kuharibu ndoa ya mwenzake akaolewa yeye akidhani watadumu yule baba baada yakuzaa naye tu akaenda kwa mwingine na ndipo kujulikana kwake kwa mke yule wapili kuwa anacheat ndio mkewe wa sasa akaondoka nakuachana naye. Na akamnyima kuwa na mahusiano na mtoto wake . So ukiona mtu anashida kwenye ndoa yake unamkimbia
 
ila maisha haya🤔🤔...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…