Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Huyo anakuwa mwongo kabisaUkiambiwa niko pale kwajili ya watoto kimbia tena usigeuke nyuma😃😃
Au anakwambia I wish ningekutana na wewe kabla sijaoa☺️... ila wanaume😂😂😂😂🙌Huyo anakuwa mwongo kabisa
HakunaKama ni Mwanamke ndo umesema hivyo.... mimi ni nani mpak nipinge
😂😂😂😝🙌Au anakwambia I wish ningekutana na wewe kabla sijaoa☺️... ila wanaume😂😂😂😂🙌
Waongoo sanaAu anakwambia I wish ningekutana na wewe kabla sijaoa☺️... ila wanaume😂😂😂😂🙌
😂😂😂😂😂😝🙌
Ilimradi akupate basi😂Waongoo sana
Wana mbinu hao balaa
Eh halafu baada ya hapo unaona maringi ringiIlimradi akupate basi😂
Kakudanganya naniKama huna bikira thamani metii, Hivyo huna vigezo vya kujifanya unachagua maana ushapoteza thamani.
Kama huna bikira me sikujibuKakudanganya nani
Usipokua makini na hawa watu unaweza ujute maisha yako yoteEh halafu baada ya hapo unaona maringi ringi
Na ukijifanya mjanja kulewa sifa umeishaa😂Wana mbinu hao balaa