Augustine Aloyce
Member
- Oct 8, 2018
- 44
- 49
WANAUME AMBAO HUFANIKIWA KATIKA BIASHARA, KAZI NA MAISHA...
Ni wale tu ambao hukubali kuishi tabia hizi 7
1. WANACHUKUA HATUA.
Wasiofanikiwa Wengi wana ndoto, hupanga malengo na kuyaongelea lakini hawafanyi chochote.
Wanaume Wanaofanikiwa Hawasubiri wakati sahihi, Wanachukua hatua, Wanafanya, wanashindwa, wanajifunza na kujirekebisha na kuufanya wakati uwe sahihi.
Usipochukua hatua, mwingine atachukua—na atashinda.
2. HAWAPOTEZI MUDA.
Kila sekunde inayopotea ni hatua moja kuelekea kushindwa.
Wanaume wasiofanikiwa husuasua, hutafuta visingizio na kutumia muda mwingi kwenye vitu visivyo na maana.
Wanaume wanaofanikiwa wanaheshimu muda. Wanajua ni rasilimali ya thamani zaidi waliyonayo..
Huamka mapema, hupanga vipaumbele na kuvizingatia na huondoa chochote kisichoendana na malengo yao.
Ukidhibiti muda wako, unadhibiti maisha yako.
3. HAWAWEKI MASHAKA JUU YA UKUU WAO.
Vita kubwa zaidi huanzia akilini.
Wanaume wanaofanikiwa hawaruhusu mashaka binafsi yawatawale na kuwazuia.
Wanaamini kuwa wanaweza kushinda hata kama mambo kwa muda huo si mazuri.
Wengine wakisema hawawezi, wao huthibitisha kuwa wanaweza.
Kujiamini sio kwamba huwezi shindwa, ni kuwa na imani isiyotetereka ndani yako mwenyewe.
4. WANA KIU YA MAFANIKIO.
Wanaume wa kawaida huridhika mapema. Hukubali wastani na hutulia na kidogo.
Wanaume wanaofanikiwa wana njaa. Hufanya kazi kwa bidii zaidi, muda mrefu zaidi, na hupigania wanachokitaka.
Hawaridhiki na “inatosha.” Wanataka ubora wa hali ya juu.
Hiyo njaa huwafanya waendelee hata maisha yanapokuwa magumu.
Chagua, Uwe na njaa au ubaki bila kitu.
5. WANA NIDHAMU.
Bila nidhamu hakuna kufanikiwa.
Wanaume wanaofanikiwa hueshimu ratiba zao, huepuka vishawishi, na hudhibiti hisia na matamanio yao.
Hawaruhusu uvivu au hisia kuendesha maisha yao. Wanadhibiti akili, miili na tabia zao.
Bila nidhamu, hufiki mbali.
6. HAWAJIFANANISHI WALA KUJILINGANISHA NA WENGINE
Dunia hujaribu kukufanya uwe kama wengine.
Wanaume wanaofanikiwa hukataa hilo. Hukumbatia upekee wao, hufuata njia yao na husimama tofauti badala ya kuiga.
hawafuati mitindo—wao ndio huunda mitindo.
Ukiifuata kundi, hutaongoza kamwe.
7. HUZUNGUKWA NA watu WENYE MALENGO KAMA YAO.
Watu wana nguvu zaidi kuliko unavyofikiri.
Wanaume waliofanikiwa hawapotezi muda na watu wasiowaongezea thamani.
Hukata watu wenye ushawishi hasi na hujizunguka na washindi, walimu na watu wenye maono makubwa.
Ukiwa karibu na watu 5 masikini, utakuwa wa 6.
Ukiwa karibu na watu 5 waliofanikiwa, utakuwa wa 6.
Chagua marafiki zako kwa busara.
Deals, pesa, Connection ziko kwa wenye nazo, kuwa nao karibu
Katika haya saba. Ni jambo gani muhimu zaidi kuanza nalo?