kijana unasema serikali yetu ni ya kipuuzi siyo!!! yaani imefikia hatua uansema haya wazi wazi bila kufanya utafiti?Nataka niwepe ushauri wanaccm wenzangu. Kuna mambo mengi sana ya kipuuzi ambayo yanaendelea kufanywa na serikali yetu kwa sasa.
Ww huwezi kuwa mwana ccm hata siku moja , waonekana kama vile unawatumikia ma bwana 2
kijana unasema serikali yetu ni ya kipuuzi siyo!!! yaani imefikia hatua uansema haya wazi wazi bila kufanya utafiti?
Kama sisi ni wapuuzi kwa nini tumeshinda igunga tena kwa kishindo? kijana kama umekosa cha kuandika logout nenda nyumbani ukapumzike - kwanza wewe si mwana CCM hai kama unavyodai - nakuonya tena usirudie kuandika habari hizi za uchochezi na kuvuruga amani ya nchi. Utulivu tulionao inatakiwa tuudumishe hasa katika kipindi hiki ambacho tunaelekea kusherehekia miaka 50 ya uhuru wetu.
Mungu ibariki Tanzania - wananchi oyeeee!!!!! -- Uhuru oyeeeeee!!!!!! -
Ww huwezi kuwa mwana ccm hata siku moja , waonekana kama vile unawatumikia ma bwana 2
Aha ha ha ha ha ha Jamaa unajifanya kama intelejensia vile biti kubwa kumbe hakuna kitu...jamaa kawapa ukweli manaleta hoja uharo hapa...
Akitoa ushauri basi anapoteza uhalali wa kuwa mwana CCM?????????? Mbona Prof Bana hujamtoa UCCM alivyo toa tathimini ya kuisha kwa CCM????????Brain Zero mwizi mkubwa wa maghamba!!!!!!!!!Ww huwezi kuwa mwana ccm hata siku moja , waonekana kama vile unawatumikia ma bwana 2
Nataka niwepe ushauri wanaccm wenzangu. Kuna mambo mengi sana ya kipuuzi ambayo yanaendelea kufanywa na serikali yetu kwa sasa. Mambo haya yatatufanya tukose kura mwaka 2015 hasa sehemu zile ambazo chama chetu kimeweka ngome.
Mfano hapa Dodoma, kuna ujenzi wa barabara ambao unaendelea, kweli mtoto wangu ana miaka minne na miezi mitatu. Leo tukiwa kwenye pikipiki tulipokuwa tunapita maeneo ya Chamwino kaniambia, "Baba nani kaharibu bara bara?"
Kuna ujenzi wa barabara wa kipuuzi unaoendelea katika manispaaa ya Dodoma. Kwa hakika kwa ujenzi huu hatuna la kuwaambia wananchi siku zijazo. Mfano katika kata ya Changʼombe kuna diwani wa chama chetu alifariki siku za hivi karibuni. Naamini uchaguzi utakapoitishwa hatuna la kuwaambia wananchi.
Hivi ndiyo kusema tumeshindwa kabisa kuisimamia serikali? Hivi hata viongozi wa chama mnapopita na kuona ugoigoi huu unaendelea mnawaambia nini hawa wakurugenzi wa mkoa, wilaya na watendaji wa kata? Hivi kweli watendaji wa serikali wanawajibika kwenu? Au ndo mnakula nao? Hakika kwa utaratibu huu tutapoteza kila kitu kwani hatuna jema tena.
Hebu tuamke jamani, Angalieni jinsi fedha ya wananchi inavyohujumiwa. Mfano barabara ya kwenda st Gema, ule ni upuuzi umefanyika pale. Kifusi kimemwagwa halafu greda likasawazisha bila kushindia. Huu ni ugoigoi. Hebu tuamke bwana.
We cjui fox/mama wa ccm kapmwe akl kwanza ndo urud Jf sawaaah!chadema oyeee
Kwa vile nafahamu wanachama wenzangu tupo kwa wingi sana katika mtandao huu ni vizuri niseme tena suala la ujenzi wa barabara unaoendelea hapa Dodoma. Mkikumbuka nilisema kuhusu ujenzi usiokidhi uliofanywa miezi kama mitatu hivi iliyopita. Barabara zote sasa hivi ni makorongo. Ni jambo la ajabu sana, wapo walionijibu kwa kashfa.
Hivi leo kuna barabara ya area C ambayo inafanyiwa ukarabati. Mifereji inayochimbwa inahuzunisha. Kweli wana CCM wenzangu tumeshindwa kuisimamia serikali. Piteni barabara ya Hombolo hapo area C mtajionea. Hivi kwa uchimbaji huu kweli kuna malipo yatafanywa kwa kampuni hii au ni volunteers tu hawa. Hivi kweli tunajali fedha za wananchi. Where is the value of money? Where are we going? Do we want to kill these people. Who will then pay the tax? Lazima tumwogope Mungu.
Nina hakika viongozi wangu ni wasikivu mtalifanyia kazi hili.
Hata hivyo nimeandika barua mara nyingi sana kwa mkurugenzi na kwa kweli sijawahi pata jibu. Nawahakikishieni, kama hii bara bara haitarekebishwa, nitaondoka rasmi katika chama, na nina hakika nitaanguka na kundi la watu and one day you will pay for that.
Ww huwezi kuwa mwana ccm hata siku moja , waonekana kama vile unawatumikia ma bwana 2