Hii ni kwa wale waliokulia kijijini tu!

Hii ni kwa wale waliokulia kijijini tu!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,994
wadau
Mimi sio mgeni sana hapa JF ingawa mara nyingi sio mwongeaji sana ila nimejifunza mengi kupitia kijiwe hiki
na kila siku huwa lazima nipite!
Back to topic...
kuna vitu flani nakumbuka enzi hizo nikiwa mdogo kijijini enzi ya primary school
-mwanafunzi unaenda shule umebeba jembe,fyekeo,kuni,mzigo wa nyasi,kidumu cha maji na ufagio ,jiwe,
-mwanafunzi kwenda shule na hela ya ada,mchango wa mlinzi,mchango wa mwenge,mchango wa madawati,umishumita,nk.
-jioni kabla ya kurudi nyumbani mnasaidia kazi za walimu kama kulima,kufua,kusomba maji,kupika.nk.
-fimbo kila siku tena mwalimu wa hesabu anachapa mpaka kichwani na mgongoni!
-michezo ya wanafunzi kuandika chooni matusi na majina ya waalimu wakuda!
wakati mwingine hutumia kinyesi kuchorea ukutani!
-enzi hizo choo cha shimo unajisaidia pembeni kisha unachambia kwenye ncha ya mlango au kona ya ukuta!
-wengi tulipenda Ku.n.y.a. polini au shambani na kuchambia majani ya miti!
-pia nakumbuka kipindi tuko polini tunachunga ng'ombe na mbuzi wakianza kupandana unakamata mbuzi jike na kumnanihii japo juu juu!
Hayo ni baadhi ya nnayokumbuka kijijini enzi hizo,
je wewe unakumbuka yapi?
 
Nilikua na mtindo wa kwenda na chupa ya chai ndani ina.maziwa ya.kuchemsha yote hayo nilikua mwanafunzi mwembamba kuliko wote shule yangu ya msingi niliosoma sasa mama na baba walikua wakali sana siku hiyo nikaivunja themos bahat mbaya sikurud nyumbani siku hiyo huku nalia.sana nawaza fimbo.za baba hata upigwe vipi mama hasemi msamehe ukipigwa na yy anachangia kwa kukupiga au maneno ya kukuchochea uongezewe kibano bas ikabidi watumwe watu wakamuite mama ila kwa sharti la kutomwambia nimefanya nin wale wanafunzi wakaenda home mama akapandisha presha akijua nimeanguka shule nimepoteza faham kuja anaambiwa nimevunja themosi nashukur nilisamehewa

Kwenda na vidumu vy maji
Mafagio
Kuwah namba asubuh
Kuogopeshana chooni kuna.majini nilikua sikojoi vyoo vya shule naubana mkojo.had nirud home
 
Mi nakumbuka nilikuwa napenda kujificha kwenye majaruba ya mpunga kuvizia totoz.

Zikifika karibu nazitisha halafu naanza kuzikimbiza kama vile jogoo akimbizavyo kuku wa kike akitaka kumpanda:becky:
 
kwa miaka hiyo saba yote ukawa unabana mkojo hadi urudi home?njia ya mkojo haikuongezeka na kuwa kubwaaaaaaaaaa kwa kuzidiwa na mbano?
 
Kukimbia mchaka mchaka na kuwahi vipindi vya asubuhi sana (hesabu/kiingereza) hasa mkiwa darasa la 7 . yaani ilikuwa raha sana na enzi la #UMITASHUMTA hata kama kilaza darasani kipindi hicho unakuwa mtu muhimu (M1 or M2) a.k.a V.I.P kisa unajua mpira au kukimbia riadha. cheze shule ya Msingi wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mi nakumbuka nilikuwa napenda kujificha kwenye majaruba ya mpunga kuvizia totoz.

Zikifika karibu nazitisha halafu naanza kuzikimbiza kama vile jogoo akimbizavyo kuku wa kike akitaka kumpanda:becky:

Hahahahhh!!!!
 
Attachments

  • 1413390059321.jpg
    1413390059321.jpg
    53.2 KB · Views: 278
Nilikuwa napenda sana muda wa mchakachaka ila nilikuwa nakereka na kazi za shule kama kubeba tofali na kulima.
 
Du mi nakumbuka enzi hizo kama hujalipa ada unaka chini du hilo vumbi sasa da nakumbuka mbali sana
 
Nakumbuka nilipigwa kofi la mtu mzima nikiwa darasa la tano,nikawashawishi jamaa zangu wawili tukamvizia huyo mwalimu ametoka kunywa pombe,tulimpiga mayai viza ya kutosha.
 
Nakumbuka dada mmoja alijificha kwenye shina la mgomba na kumpiga kumrushia mwalimu jiwem
 
Mi nimeipenda sana hiyo segment ya mbuzi wakianza kupandana tu unapandisha Munkari
 
Last edited by a moderator:
Mayai vinza yaliyotunzwa mahali ndo ilikuwa kiboko ya walimu wakorofi na walevi duu.. Ratiba ya mitihani ilikuwa inaandikwa kwenye ubao wa shule wa matangazo kwa chaki lol.. Daftari la sayansi kilimo na sayansi kimu halikuwahi kujaa notc lol.. Wakati wa mitihani ndo wakati mzuri wa kuchezaa..
 
Back
Top Bottom