Hii ni kwa mabingwa wa maswali ya mtego tu

Huyo umbwa anaye nunua soda na halipi ni mwizi na anahujumu duka lako.

Dawa yake ni kumkumbusha akigoma anakula nakos


Labda ni mwendawazimu!!!, je utampiga ngumi mwendawazimu??🤣
 
Swali la tano ni hili kutoka kwangu,
Amekuja mteja dukani kwako kataka soda ya sh 600
Akatoa noti ya sh 2000
Kabla haujamludishia chenji akaja mteja mwengine akatoa 1400 na kumpa mteja wa kwanza na akaondoka ukabaki na mteja wa pili naye akahitaji soda ya sh 800 mbili na kutoa noti ya sh 5000
Mara pap kapita ombaomba akakwambia umpe 700.
Je chenji yake kwako ni sh ngapi?
4100/=
 
Usaili wa mshika kibendera kuongoza magari ujenzi wa reli mwendo kasi Gulwe

Swali: Umesimama kati na kibendera cha kuongoza huku kuna msafara wa Rais na kule kuna treni inakuja, utasimamisha upande gani? Msafara wa rais au treni?
Msafara wa rais nasimamisha.
 
Back
Top Bottom