Hii ni kwa kina mama walioolewa tu

Hii ni kwa kina mama walioolewa tu

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252


Utakacho kisikia njoo uniulize.
 
Last edited by a moderator:
sio kirusi?lol
onea huruma ka laptop kangu....:nono:
 
Kifupi hii ni lugha ya Kiganda huyo mama anawafunda akinamama wenzie kuwa wawapo chumbani waoneshe kitu tofauti kwa waume zao.

Mfano pale anasema mme wako mitaani anaitwa Sam, hivyo muwapo chumbani na wewe ukamuita Sam ataona nikawaida nabadala yake muite hivi! Sa...sa...saa saa..saaaammmmmm!
 
Back
Top Bottom