Hii ni kwa Khantwe wangu jamani

Hii ni kwa Khantwe wangu jamani

hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe hujuagi wanapeana sana tena sana si unaonaga wanavyokuwa wengi na idadi haitambuliki wako malaika wangapi kule heaven
Basi baby, mimi nitakupa :mimba:ya mapacha!
 
nitafurahije na jinsi ninavyowahusudu mapacha wewe acha tu kwenu kuna mapacha nini mana nasikia katika familia mkiwa na mapacha nanyi mnazaa mapacha ni kweli haya au ndo maneno tu ya watu my dia?

Wapo wengi tu, we changamka nikupatie wa kwako na wewe uringe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom