miss chagga, kwa hili nina uhakika Khantwe yupo mwenyewe...ulikuwa unamsindikiza tu siku zote!!!
Ntuzu :angry:
Ntuzu leo unanimpa kuwa bi mkubwa sasa Khantwe utakuwa mchepuko ,... nalia mimi hapa hata akili haifanyi kazi sijui naandika nini?Eli79 we mchokozi sn........hahahahaaaaaa
miss chagga usisononeke my dear Khantwe anfahamu kua wewe ni bimdogo and forever you will.
miss chagga, kwa hili nina uhakika Khantwe yupo mwenyewe...ulikuwa unamsindikiza tu siku zote!!!
UKIONA YA MUSA UTAONA YA FIRAUNI AISEEE
LEO MKE MWENZA Khantwe KAPEWA MAUJIKO MAKUMBWA NAMNA HII NA KUIMBIWA
WIMBO MZURI KIASI HICHI KISA NINI TENA MKE UMEMPA HUYU MUME WETU
ASIONE muuza ubuyu HAPA MAANA TALAKA REJEA ITAFUATA MWEEE
YANGU MIMACHO
Eli79 we mchokozi sn........hahahahaaaaaa
miss chagga usisononeke my dear Khantwe anfahamu kua wewe ni bimdogo and forever you will.
Mmmmmmmm na wewe
Kah............! ukisikia mwanaume kubanwa ndio huku sasa. sasa hapa sijielewi kabisa.....Let me leave the love to lead the way.......................Kah!
Hehehehehe yani mmejua kunikomesha, msaga sumu Mimi yamenishuka pyuuuuuuu, nashukuru tu Hamuoni Huku sura ilivyoniparama. Mchana Mbao heshima yako, yani mshaniharibia weekendHahahahaaaa mamito..... Heaven Sent anafahamu mchana mbao kanipa nini........say hello to my brother muuza ubuyu.........I miss him so much.
Kwendraa zako, na ntawafitinisha tu labda nisiwe dada ako. Kisa cha kunichefua hivyo mzee Mimi khaaaaNjoo nikupe dawa mdada.............ila usije na baiskeli.
basi nikubali kuwa MCHEPUKO LAMI
Teh teh mke mwenza usijali kesho zamu yako
Hehehehehe yani mmejua kunikomesha, msaga sumu Mimi yamenishuka pyuuuuuuu, nashukuru tu Hamuoni Huku sura ilivyoniparama. Mchana Mbao heshima yako, yani mshaniharibia weekend
Kwendraa zako, na ntawafitinisha tu labda nisiwe dada ako. Kisa cha kunichefua hivyo mzee Mimi khaaaa
Watu mna maneno, eti MCHEPUKO LAMI. MCHEPUKO VUMBI ndio ukoje?.