Hii ni kwa ajili yako

Mungu wangu...! Umekula shangazi na rafikize??
 

This is a private business. Hayatuhusu kabisa. Never repeat this kind of communication here. Send private message to her.
 
Khaaaaaaa

Naungana na huyo binti

Hufai hufai.hufai


Utembee na anti yake na marafiki zake 3??????

Watu wa aina yako mtatongoza mpaka wakwe zenu


Binti mwanajf usikubali kumrudia huyu...hafaiiiiii....kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


Anyway..chai yako imekolea sukari
 
Inaonekana shetani ni best friend wa watu wengi sana!
 
eh...inavutia hii...! hivi ilikuwaje?
 
This is a private business. Hayatuhusu kabisa. Never repeat this kind of communication here. Send private message to her.

Kwa wengi wa mashauriano upatikana suluisho na Naamini kwa wingi wa washauri apa atanisamehe
 

Ningekuwa na uwezo ningefuta comment yako, jua maneno yako yanaweza kuwa na affect kubwa ila ujui tuu
 
Huyo shetani ulienda nae wapi jamani?????????? na shetani akukane siku ya mwisho hapo umesingizia ni tamaa zako tu.

Tina Dah umemcheat Mara ngapi mwanaume wako na best friend zake Mbona amekusamehe... Usiwe na moyo mgumu wa Mimi kuniombea samahani
 
Nitaaona watu wa hekima kama kila mmoja akitoa maneno ya kujenga kuliko kubomoa wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…