SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 354
We msichana wa JF msamehe mwenzio
Nimeshamsamehe
Na Mimi nimekusamehe,najua unanicheat ila sitaki kujua
Hivi ndo umerudisha majeshi? Sikuelewi siku hizi atii
Alikupeleka wapi?Hajakufumua marinda kweli maana shetani mbaya!Ingawa nimebadili id ila leo nimeona niombe radhi kwa mdada wa jf kwa kumkosea kwa kutembea na anti yake na marafiki zake watatu...
Ingawa utaki nipa nafasi ya kunisikiliza kwa kuwa naamini nilikukosea sana tena sana, najua ulinipenda ila nilishindwa mpenzi natamani nitumie siku nzima kukuelezea ila naomba unisamehe mpenzi bado nakupenda ni shetani tu alinipitia..
Reply me back
Alikupeleka wapi?Hajakufumua marinda kweli maana shetani mbaya!
ha ha jf !! Ni kikomo cha magari mabovu.
Kila la kheri
^^
Kwani hamkupeana mawasiliano mengine zaidi ya JF...au unam blackmail...'usiponisamehe nakutaja adharani' ...lol
Naanza kuamini kujuana na watu JF ni risk...