Je, wewe ni mwanaume wa kweli?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,699
9,778
Leo naomba kulizungumzia hili suala kama ifuatavyo:

Kwenye challenge ya NoFap wanaume tunajitutumua kuhakikisha kuwa hakuna ngono wala punyeto, lakini kiuhalisia watu wanaumia sana na kupitia wakati mgumu usioelezeka. Wengine huchukua hatua ya kujichanganya na watu wengine ili kuepuka kupiga punyeto! Utawaskia wakipeana moyo na kuhesabiana siku . Halikutakiwa kuwa jambo zito kiasi hicho!

Ulikuwa ni utangulizi tu. Kama unapitia haya yafuatayo, jua tu hapo hakuna mwanaume:

1. Je, unapandisha hisia za ngono kabla ya kupandisha mnara hewani? Yaani unahisi kule kutekenywa tekenywa ilhali uume haujajaa? HAKUNA MWANAUME HAPO

2. Unasimama njiani au kuwa karibu na mwanamke sehemu iliyo wazi kwa muda wa kuanzia dakika moja pasipo kuhisi damu inaujaza uume taratibu? Hata kama mnaongea story za kawaida tu? HAKUNA MWANAUME HAPO

3. Unadindisha kwa kutazama picha za wakina dada kwenye mitandao ya kijamii au picha za akina dada watupu wa kirumi? HAPO HAKUNA MWANAUME

4. Unahisi maumivu ya kichwa unapotazama video za ngono, baada ya kupiga punyeto au unapomuona mwanamke akikatiza barabarani? HAPO HAKUNA MWANAUME

5.Haipiti wiki bila kupiga punyeto? Na punyeto yenyewe ni ile ya kuhisi manii zimekuzidia kwenye korodani hivyo kuanza kukutekenya? HAPO HAKUNA MWANAUME

6.Unasimamisha pale unapofanya imagination (fikra) za kuwa unafanya mapenzi? HAPO HAKUNA MWANAUME

7. Muulize mkeo au mpenzi wako kuwa wakati mkiwa mmelala, akiutazama uume wako kwa kuukazia macho huwa unasimama wenyewe hata kama ukiwa umelala fofofo?

Ziada: Unaweza kumgundua mwanaume au mwanamke anaepiga punyeto kwa kumtazama

Nikuache na hizo tafakari, nitakuja kuendelea kutoa somo kuhusiana na namna gani ya kurejea uanaume
 
Screenshot from 2022-07-23 23-25-18.png


Msameheni tu jamani bado ndio anakua
 
Wewe yote umeyajuaje haya?
Psychologists wanajua wanayoyajua na kujua anachokijua na anachokipitia binadamu mwingine sababu wamesomea psychology ya binadamu accordingly.
Mtu wa kawaida atajua na anajua anachokijua kwa njia moja tu, kupitia na kushuhudia hicho kitu na kuwa na experience nacho.

Sasa wewe mkuu bila shaka sio psychologist means ulichoandika ni experience yako binafsi therefore ina maanisha unajiexpose mwenyewe uhalisia wako wa ndani bila kujua.

Niambie naongopa kwamba hicho ulichokiandka ni wewe mwenyewe..?
 
Hakuna fact uliyoongea hizo ni hisia zako tu, mwanaume ni mwanaume tu alimradi hapumuliwi kisogoni afu na jogoo anapanda mtungi,
Jogoo apande mtungi halafu ukojoe ndani ya sekunde arobaini na wewe ujiweke kwenye kundi la wanaume?

Hapo unakuwa ni mtu jinsia ya kiume.
 
"Top porn site” umei-bookmark kabisa kwa bar..
Ha ha ha ha ha yaani aisee kipind hicho nafanya kazi za kuwekea watu nyimbo katika simu sasa hiyo web ina wecsite zote duniani hivyo ilikuwa inanisaidia kujua wapi nipakue video za wateja nk,
Sas ndio main email yangu sijafutaga kamwe
anayway mkuu umechunguza sana 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kaka unaandika utumbo sana hivi una miaka mingapi?
23, Vipi kuhusu miaka yako mkuu?
 
Back
Top Bottom