Hii ni kawaida kwa wadada au?

mwanamke anasamehe kweli, i know coz i played the game.dont hate the player hate the game

watch out asije akawa anakutega for what you did to her? Kwani huyo rafiki yake umeishia naye wapi?

nilimpotezea mazima baada ya kuvujsha siri.

Unategwa hapo.Ilinitokeaga mimi cku nilipopanga kukutana naye wakaja wote wote wawili mitaa ya B Bar Cnza wakaniweka mtu kati huku wakiongea kwa sauti maneno ya kashfa.Nilitoka mbio na mpaka leo cjakanyaga tena B Bar though ni miaka 6 sasa imepita.

khaaah!!bt hawa wangu wanaish sehem tofaut,mmoja yuko dar na mwingne iringa..

Unajua mtenda hutendwa kakukubalia ila nawe uwone tamu ulio fanya. na kwakumtokea kwa mara ya pili jua umempa uhakika kwake uzungush. subiria kilio mwanajf

Si umejifanya kuuza cheni bandia, sasa pokea fedha bandia ( akili kumkichwa ).

Sasa mkuu mwaka mzima kashamegwa na wangapi mkuu?
Na kama aliweza kukaa mwaka mzima bila kukutafuta au kutaka mrudiane je atashindwa vp kukutosa hata kesho!

Au kaona upo safi kifedha amesha plan kuja kufaidi!
Shtuka man kama vp mpotezee usitafute headache bureeee. Wadada wamejaa kibao tafuta mwingine tu

asante kwa ushaur wako mkuu..

Ulitaka akusamehe, amekusamehe, sasa wasiwasi wa nini? nendeni mkapime, na kwa vile mlikuwa wapenzi ni bora uhusiano wenu uende kwenye next level ili muwe committed to each other

Unategwa hapo.Ilinitokeaga mimi cku nilipopanga kukutana naye wakaja wote wote wawili mitaa ya B Bar Cnza wakaniweka mtu kati huku wakiongea kwa sauti maneno ya kashfa.Nilitoka mbio na mpaka leo cjakanyaga tena B Bar though ni miaka 6 sasa imepita.

duh! Hii kali

He he heee! Dah hii kali.. Vipi ulikoma au bado unawatokea marafiki wa gf wako?!

Ulitaka akusamehe, amekusamehe, sasa wasiwasi wa nini? nendeni mkapime, na kwa vile mlikuwa wapenzi ni bora uhusiano wenu uende kwenye next level ili muwe committed to each other

asante kwa ushauri wako ndugu gaga.

mmmh hapo utata upo.kuwa makini sana akukatalie mwaka umepita then kisimposimpo lyk abc akubali tuu.aah huo mtego man.

no no no o mdogo wangu usiangalie nyuma tena,look foward kupata binti mwingine ambae atakua hana any of your previous history. .anaweza akawa hana mpango wakurevange bt hiyo posibility ipo au akirudiana na wewe lazma atakucontrol sana coz its seems wee umekosa mwanamke mwingine. .
The gud thng amekusamehe. .mpotezee. .

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom