Hii ni kali sana...

Jamii ya Kunguru hao. Wapo ndege Ethiopia wao wanapendelea zaid Bone marrow, so anabeba mfupa wa mzoga wa mnyama, anaruka nao juu kabisa halafu anauachia kuelekea chini tena kwenye mwamba ili kuupasua. Wanajifunza ngali wakiwa wadogo.
 
huyu ndege ana akili sana kuliko hili kubwa zima.
IMG_0324.jpg
 
kuna scintist walikuwa wanakamata kunguru kisha wanawafanyia reseach kwa mda kisha wanawachia..
cha ajabu kilichotokea kwa wale kunguru ni kwamba kila wakiona mtu kavaa mask lazma wamghasi sababu wanaona wanaovaa mask ndi wale watesi wao!
hii ilienda kwa zaidi y miaka 10 ilifikia hadi vizazi yaani watoto hadi wajukuu wa kunguru wakikuona anga zao umevaa mask wanakuletea zogo
Jamii ya Kunguru hao. Wapo ndege Ethiopia wao wanapendelea zaid Bone marrow, so anabeba mfupa wa mzoga wa mnyama, anaruka nao juu kabisa halafu anauachia kuelekea chini tena kwenye mwamba ili kuupasua. Wanajifunza ngali wakiwa wadogo.
 
kuna scintist walikuwa wanakamata kunguru kisha wanawafanyia reseach kwa mda kisha wanawachia..
cha ajabu kilichotokea kwa wale kunguru ni kwamba kila wakiona mtu kavaa mask lazma wamghasi sababu wanaona wanaovaa mask ndi wale watesi wao!
hii ilienda kwa zaidi y miaka 10 ilifikia hadi vizazi yaani watoto hadi wajukuu wa kunguru wakikuona anga zao umevaa mask wanakuletea zogo

ukiua kunguru mmoja mbele ya wengine watakusumbua sana siku za usoni.
 
angekuwa mjinga asingeweza kuzuia kuzaa na huku kashikwa na uchungu..
ni mnyama gani anaweza kujizuia kuzaa wakati uchungu umemkamata.

hayo ni maumbile,sio akili.

wewe unaweza kuzuia kwenda haja ndogo tofauti na mwanamke sio kwamba una akili zaidi yake.
 
Back
Top Bottom