EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
kwaio hao wengine we unaushahidi wamefundishwa?????Hukuelewa swali nililokuuliza?Najua kuwa kuna wanyama huwa wanafundishwa kufanya mambo mbalimbali,lakini mimi nimekuuliza juu ya huyu ndege,je unaweza kuthibitisha kuwa huyu ndege specifically amefunzwa kama unavyodai?