Hii ni kali sana...

Hukuelewa swali nililokuuliza?Najua kuwa kuna wanyama huwa wanafundishwa kufanya mambo mbalimbali,lakini mimi nimekuuliza juu ya huyu ndege,je unaweza kuthibitisha kuwa huyu ndege specifically amefunzwa kama unavyodai?
kwaio hao wengine we unaushahidi wamefundishwa?????
 
Kuna madai pia nao walisaidia kukamatwa kwa Osama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…