VeniGan
Senior Member
- Feb 4, 2011
- 135
- 9
dah!
duh!
haya bwana naona kweli kwa hapa utakua umenipata..
call ambulance loll.o.l umepatwa na nini tena?
call ambulance lol
nimesahau na fonbuku yangu waifu kaweka sekyuriti kodi. mPM mod mwambie atugaie japo ka first aid kit tumuwahi jamaanamba yao ngapi vile?
nimesahau na fonbuku yangu waifu kaweka sekyuriti kodi. mPM mod mwambie atugaie japo ka first aid kit tumuwahi jamaa
halaf naona kapotea katika mazingira ya kutatanisha, sjui mgao wa tanesco au kaamua kulizima tu? hehehe hybrid wa 50 cent bana!first aid kit ya jf ina nyundo na kitabu sijui itamsaidiaje jamaa