sioni kama kuna tatizo hasa ukizingatia hawana uhusiano tena. Kumbuka hata kama hana picha lkn bado atakumbuka mahusiano yake ya zamani. Cha msingi ni uaminifu na kuheshimiana.
Na hii ipo sanaaaa,asikwambie mtu
Unajua siwezi kutaka kujua nisiyoyajua bado. Nitaamini kutokana na mahusiano yetu. Ni vema mdada akaamini kua hao hawana mahusiano sasa hiyo sababu kwanini anatunza picha ndio anayopaswa kuitafuta kwa kumuuliza mhusika.unafahamuje kuwa hawana mahusiano,huoni kuwa bdo ni wapenz ndo maana anaitunza na kuikumbuka hyo picha?
Wadau habari za jioni,poleni na kazi,
Watu Wameoana,wamezaa watoto 2/3. Mme/Mke anakuonyesha picha za Boyfriend/Girlfriend wake kipindi wako chuo kwenye album yake.yuko yeye katikati halafu pembeni kushoto na kulia marafiki zake.Hii imekaaje?
Kimtego kivipi .swali km hilo huwa linanitatiza sana kujb,mana limeka kimtegomtego
Hapo ndipo penye taabu sasa. Unajua uaminifu ni jambo la msingi sana. Na ni vizuri kuaminiana hata ukimkuta huyo mlengwa anaongea na mtu wake wa kale bado hakuna shida iwapo huyo ndugu ni muaminifu na kama ni kicheche lazima pressure ipande .Na mawasiliano siku hizi yalivyorahisishwa mtu anaweza kuwa yuko Frankfurt anapanga kujirusha na mpenzi wake wa zamani yuko kasulu.. Chezeya technology weye!!!
Hapo ndipo penye taabu sasa. Unajua uaminifu ni jambo la msingi sana. Na ni vizuri kuaminiana hata ukimkuta huyo mlengwa anaongea na mtu wake wa kale bado hakuna shida iwapo huyo ndugu ni muaminifu na kama ni kicheche lazima pressure ipande .
Ni kweli kabisa hakuna mantiki ya kuhifadhi hizo picha ndio maana nasisitiza mlengwa aulizwe kulikoni huenda anazo sababu za msingi za kuhifadhi picha hizo. Kikawaida haipaswi kabisaaaa kuhifadhi hizo picha ila kama ningekua mimi sianzi kuuwasha moto nitaenda taratibu mpaka niujue ukweli . Nadhani umenipata pacha.Pacha Ablessed unachosema ni ukweli kabisa, lakini katika Ulimwengu wa leo waaminifu ni wachache mno na hata vicheche si rahisi kabisa kuwatambua hivyo hili kwa kweli ni gumu sana. Waache wengine waweke ngumu tu hakuna mawasiliano ya aina yoyote ile na ex-lover, picha pia hata kama ni za mwaka 47 haziruhusiwi. Mlikuwa na mtu mwaka 47 kama GF na GF sasa uko na familia yako kama mke na mume yanini tena kuendelea kuwa na picha za mwaka 47 ndani ya picture albums za muhusika!? Madhumuni ya kuendelea kuwa na picha hizo za mwaka 47 ni yepi!?
Ni kweli kabisa hakuna mantiki ya kuhifadhi hizo picha ndio maana nasisitiza mlengwa aulizwe kulikoni huenda anazo sababu za msingi za kuhifadhi picha hizo. Kikawaida haipaswi kabisaaaa kuhifadhi hizo picha ila kama ningekua mimi sianzi kuuwasha moto nitaenda taratibu mpaka niujue ukweli . Nadhani umenipata pacha.
Hahahahaha sasa pengine ana historia nae huyo ex wake jamani hebu acheni hizo tatizo liko wapi yeye si tayari kasha kua wako. Labd huyo ex wake ndie alimsaidia kumpa vibomu wakati wako shule na ndivyo vilivyomfanya afike hapo. Hahahahahahah enewei naamini kutakua na sababu muhimu . Mimi nikiiona picha ya ex wake na kama namzidi kwa uzuri mbona atakoma nitamtania mpaka ajute. nikiona jamaa hanielewi basi na mimi natafuta picha yoyote hata kama sikuwahi kua na ex namwambia huyu alikua ex wangu nilimpenda sana ili iwe ngoma droooooo.Ewaaaa!!! naona unaanza kuja kipande hii taratibu lol!! Mie kwa maoni yangu picha hizi hazistahili kuwemo ndani ya nyumba sioni sababu za msingi zozote zile za kuruhusu kuwepo kwa picha hizo. Muhusika hana sababu ya kusubiri hadi awashiwe moto ndio ajue kwamba picha zile ziondolewe mara moja.
Wadau habari za jioni,poleni na kazi,
Watu Wameoana,wamezaa watoto 2/3. Mme/Mke anakuonyesha picha za Boyfriend/Girlfriend wake kipindi wako chuo kwenye album yake.yuko yeye katikati halafu pembeni kushoto na kulia marafiki zake.Hii imekaaje?
Hahahahaha sasa pengine ana historia nae huyo ex wake jamani hebu acheni hizo tatizo liko wapi yeye si tayari kasha kua wako. Labd huyo ex wake ndie alimsaidia kumpa vibomu wakati wako shule na ndivyo vilivyomfanya afike hapo. Hahahahahahah enewei naamini kutakua na sababu muhimu . Mimi nikiiona picha ya ex wake na kama namzidi kwa uzuri mbona atakoma nitamtania mpaka ajute. nikiona jamaa hanielewi basi na mimi natafuta picha yoyote hata kama sikuwahi kua na ex namwambia huyu alikua ex wangu nilimpenda sana ili iwe ngoma droooooo.
Hahahahahahahah kwa kweli ni mbaya kuonyeshana ubabe binafsi napenda amani na huwa nachukua nafasi ya chini siku zote sababu hainidhuru sana . ule wimbo wa mwanzo mzuri yaani kila kituko kina wimbo wake duh Sikukuu si imeisha nimerudi kizamani zaidi nitaenda tena saloon siku ya basideiiiiiiMhhhhh! lol! Jambo limezua jambo!!! unaona sasa mume na mke wanashindana kuhusu maex wao, ukitahamaki ndoa imeingia doa tena si dogo. Unaanza maisha mapya yenye uzito mkubwa kuliko GF na BF, yaliyopita hata kama njemba/mdada ndio alikuingiza MUJINI lol! inabidi muachane nayo mkiyaendekezana yatakula kwenu na kubaki na majuto mjukuu. By the way lile lemba lingine jipya ni aje!? naona umeenda kuibua lemba la zamani kwi kwi kwi kwi
Hahahahahahahah kwa kweli ni mbaya kuonyeshana ubabe binafsi napenda amani na huwa nachukua nafasi ya chini siku zote sababu hainidhuru sana . ule wimbo wa mwanzo mzuri yaani kila kituko kina wimbo wake duh Sikukuu si imeisha nimerudi kizamani zaidi nitaenda tena saloon siku ya basideiiiiii
Tena wanasema unaongeza maisha ukiilea amani . Kwanini uzeeke mapema kisa mtu mwenye meno 32 wakati akiwa kibogoyo hamkujuana aka.eeh lilikua la thikukuu tuUmeupenda eeh!!! lol! amani muhimu banaaaa huleta Baraka ndani ya nyumba, kugombana gombana kila mara haihusu kitu maana kununa nuna kunafupisha life span. Kumbe lile lemba lilikuwa ni la sikukuu!!!! Hongera zako Mkuu ulitoka ile mbaya ππ
Tena wanasema unaongeza maisha ukiilea amani . Kwanini uzeeke mapema kisa mtu mwenye meno 32 wakati akiwa kibogoyo hamkujuana aka.eeh lilikua la thikukuu tu