Hii ni halali kweli? Huku si kuumizana?

Hii ni halali kweli? Huku si kuumizana?

sioni kama kuna tatizo hasa ukizingatia hawana uhusiano tena. Kumbuka hata kama hana picha lkn bado atakumbuka mahusiano yake ya zamani. Cha msingi ni uaminifu na kuheshimiana.

unafahamuje kuwa hawana mahusiano,huoni kuwa bdo ni wapenz ndo maana anaitunza na kuikumbuka hyo picha?
 
Na mawasiliano siku hizi yalivyorahisishwa mtu anaweza kuwa yuko Frankfurt anapanga kujirusha na mpenzi wake wa zamani yuko kasulu.. Chezeya technology weye!!!

Na hii ipo sanaaaa,asikwambie mtu
 
unafahamuje kuwa hawana mahusiano,huoni kuwa bdo ni wapenz ndo maana anaitunza na kuikumbuka hyo picha?
Unajua siwezi kutaka kujua nisiyoyajua bado. Nitaamini kutokana na mahusiano yetu. Ni vema mdada akaamini kua hao hawana mahusiano sasa hiyo sababu kwanini anatunza picha ndio anayopaswa kuitafuta kwa kumuuliza mhusika.
 
Wadau habari za jioni,poleni na kazi,
Watu Wameoana,wamezaa watoto 2/3. Mme/Mke anakuonyesha picha za Boyfriend/Girlfriend wake kipindi wako chuo kwenye album yake.yuko yeye katikati halafu pembeni kushoto na kulia marafiki zake.Hii imekaaje?

aaaah, huyo apigwe tu, tumechoka
 
Na mawasiliano siku hizi yalivyorahisishwa mtu anaweza kuwa yuko Frankfurt anapanga kujirusha na mpenzi wake wa zamani yuko kasulu.. Chezeya technology weye!!!
Hapo ndipo penye taabu sasa. Unajua uaminifu ni jambo la msingi sana. Na ni vizuri kuaminiana hata ukimkuta huyo mlengwa anaongea na mtu wake wa kale bado hakuna shida iwapo huyo ndugu ni muaminifu na kama ni kicheche lazima pressure ipande .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pacha Ablessed unachosema ni ukweli kabisa, lakini katika Ulimwengu wa leo waaminifu ni wachache mno na hata vicheche si rahisi kabisa kuwatambua hivyo hili kwa kweli ni gumu sana. Waache wengine waweke ngumu tu hakuna mawasiliano ya aina yoyote ile na ex-lover, picha pia hata kama ni za mwaka 47 haziruhusiwi. Mlikuwa na mtu mwaka 47 kama GF na GF sasa uko na familia yako kama mke na mume yanini tena kuendelea kuwa na picha za mwaka 47ndani ya picture albums za muhusika!? Madhumuni ya kuendelea kuwa na picha hizo za mwaka 47 ni yepi!?

Kulikuwa na nyuzi hapa miezi ya nyuma kuhusu maex-walivyokuwa wanaelezea wakigegedana pamoja na kuwa wote wako ndani ya ndoa au mmoja yuko ndani ya ndoa. Dunia hii ya leo ni tofauti sana na ile ya mwaka 47.

Hapo ndipo penye taabu sasa. Unajua uaminifu ni jambo la msingi sana. Na ni vizuri kuaminiana hata ukimkuta huyo mlengwa anaongea na mtu wake wa kale bado hakuna shida iwapo huyo ndugu ni muaminifu na kama ni kicheche lazima pressure ipande .
 
Last edited by a moderator:
Pacha Ablessed unachosema ni ukweli kabisa, lakini katika Ulimwengu wa leo waaminifu ni wachache mno na hata vicheche si rahisi kabisa kuwatambua hivyo hili kwa kweli ni gumu sana. Waache wengine waweke ngumu tu hakuna mawasiliano ya aina yoyote ile na ex-lover, picha pia hata kama ni za mwaka 47 haziruhusiwi. Mlikuwa na mtu mwaka 47 kama GF na GF sasa uko na familia yako kama mke na mume yanini tena kuendelea kuwa na picha za mwaka 47 ndani ya picture albums za muhusika!? Madhumuni ya kuendelea kuwa na picha hizo za mwaka 47 ni yepi!?

Ni kweli kabisa hakuna mantiki ya kuhifadhi hizo picha ndio maana nasisitiza mlengwa aulizwe kulikoni huenda anazo sababu za msingi za kuhifadhi picha hizo. Kikawaida haipaswi kabisaaaa kuhifadhi hizo picha ila kama ningekua mimi sianzi kuuwasha moto nitaenda taratibu mpaka niujue ukweli . Nadhani umenipata pacha.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ewaaaa!!! naona unaanza kuja kipande hii taratibu lol!! Mie kwa maoni yangu picha hizi hazistahili kuwemo ndani ya nyumba sioni sababu za msingi zozote zile za kuruhusu kuwepo kwa picha hizo. Muhusika hana sababu ya kusubiri hadi awashiwe moto ndio ajue kwamba picha zile ziondolewe mara moja.

Hahahahaha sasa pengine ana historia nae huyo ex wake jamani hebu acheni hizo tatizo liko wapi yeye si tayari kasha kua wako. Labd huyo ex wake ndie alimsaidia kumpa vibomu wakati wako shule na ndivyo vilivyomfanya afike hapo. Hahahahahahah enewei naamini kutakua na sababu muhimu . Mimi nikiiona picha ya ex wake na kama namzidi kwa uzuri mbona atakoma nitamtania mpaka ajute. nikiona jamaa hanielewi basi na mimi natafuta picha yoyote hata kama sikuwahi kua na ex namwambia huyu alikua ex wangu nilimpenda sana ili iwe ngoma droooooo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yakitokea hayo; tambua kuna mawasiliano ya karibu sana na mtu huyo.
 
Wadau habari za jioni,poleni na kazi,
Watu Wameoana,wamezaa watoto 2/3. Mme/Mke anakuonyesha picha za Boyfriend/Girlfriend wake kipindi wako chuo kwenye album yake.yuko yeye katikati halafu pembeni kushoto na kulia marafiki zake.Hii imekaaje?

mbona kawaida hata mdingi wangu alituonyesha girlfriend wake wa kwanza mambo ya kawaida sana
 
Mhhhhh! lol! Jambo limezua jambo!!! unaona sasa mume na mke wanashindana kuhusu maex wao, ukitahamaki ndoa imeingia doa tena si dogo. Unaanza maisha mapya yenye uzito mkubwa kuliko GF na BF, yaliyopita hata kama njemba/mdada ndio alikuingiza MUJINI lol! inabidi muachane nayo mkiyaendekeza yatakula kwenu na kubaki na majuto mjukuu. By the way lile lemba lingine jipya ni aje!? naona umeenda kuibua lemba la zamani kwi kwi kwi kwi

Hahahahaha sasa pengine ana historia nae huyo ex wake jamani hebu acheni hizo tatizo liko wapi yeye si tayari kasha kua wako. Labd huyo ex wake ndie alimsaidia kumpa vibomu wakati wako shule na ndivyo vilivyomfanya afike hapo. Hahahahahahah enewei naamini kutakua na sababu muhimu . Mimi nikiiona picha ya ex wake na kama namzidi kwa uzuri mbona atakoma nitamtania mpaka ajute. nikiona jamaa hanielewi basi na mimi natafuta picha yoyote hata kama sikuwahi kua na ex namwambia huyu alikua ex wangu nilimpenda sana ili iwe ngoma droooooo.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! lol! Jambo limezua jambo!!! unaona sasa mume na mke wanashindana kuhusu maex wao, ukitahamaki ndoa imeingia doa tena si dogo. Unaanza maisha mapya yenye uzito mkubwa kuliko GF na BF, yaliyopita hata kama njemba/mdada ndio alikuingiza MUJINI lol! inabidi muachane nayo mkiyaendekezana yatakula kwenu na kubaki na majuto mjukuu. By the way lile lemba lingine jipya ni aje!? naona umeenda kuibua lemba la zamani kwi kwi kwi kwi

Hahahahahahahah kwa kweli ni mbaya kuonyeshana ubabe binafsi napenda amani na huwa nachukua nafasi ya chini siku zote sababu hainidhuru sana . ule wimbo wa mwanzo mzuri yaani kila kituko kina wimbo wake duh Sikukuu si imeisha nimerudi kizamani zaidi nitaenda tena saloon siku ya basideiiiiii
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeupenda eeh!!! lol! amani muhimu banaaaa huleta Baraka ndani ya nyumba, kugombana gombana kila mara haihusu kitu maana kununa nuna kunafupisha life span. Kumbe lile lemba lilikuwa ni la sikukuu!!!! Hongera zako Mkuu ulitoka ile mbaya 🙂🙂

Tena wanasema unaongeza maisha ukiilea amani . Kwanini uzeeke mapema kisa mtu mwenye meno 32 wakati akiwa kibogoyo hamkujuana aka.eeh lilikua la thikukuu tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo ndio hatutaliona tena lemba lile hadi Eid ndogo au miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika, whichever comes first!? 🙂🙂

Tena wanasema unaongeza maisha ukiilea amani . Kwanini uzeeke mapema kisa mtu mwenye meno 32 wakati akiwa kibogoyo hamkujuana aka.eeh lilikua la thikukuu tu
 
Anakuonesha ili iweje?anazitunza ili iwaje?kumbukumbu gani ambayo anaona ni muhimu aendelee kuwa nayo? Hii ni dalili ya kukosa ustaarabu! Najiuliza ikitokea siku wakakutana na kubadilshana mawasilino kisha wakaanza kusimuliana enzi zileee huku picha ikiangaliwa kila mara ili kurudisha fikra nyuma je unatarajia nn hapo?...mm sioni mantiki kabisaaa
 
Hamna tatizo lakini pia c busara coz haina maana wala faida yoyote kumuonesha mwenza wako picha za hivyo
 
Back
Top Bottom