Hii ni halali kweli? Huku si kuumizana?

Hii ni halali kweli? Huku si kuumizana?

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,779
Wadau habari za jioni,poleni na kazi,
Watu Wameoana,wamezaa watoto 2/3. Mme/Mke anakuonyesha picha za Boyfriend/Girlfriend wake kipindi wako chuo kwenye album yake.yuko yeye katikati halafu pembeni kushoto na kulia marafiki zake.Hii imekaaje?
 
Mi naona kawaida c picha tu tena ya zamani afu we ndo mmiliki na family juu sa unaumia nini?
 
Mmmm we Munkari....picha ya jamaa unaiona,kwanini asiichome kama yalishapita?kwanini anakaa nayo?ukumbusho wa nini?
 
km ni mi sitaki anionyeshe!
ila itabidi tuelezane hayo b4 aisee,zichomwe moto tu
 
Sioni kama kuna tatizo hasa ukizingatia hawana uhusiano tena. Kumbuka hata kama hana picha lkn bado atakumbuka mahusiano yake ya zamani. Cha msingi ni uaminifu na kuheshimiana.
 
Kwanini akuoneshe/

Lazima kuna sababu!!!!
 
Sioni kama kuna tatizo hasa ukizingatia hawana uhusiano tena. Kumbuka hata kama hana picha lkn bado atakumbuka mahusiano yake ya zamani. Cha msingi ni uaminifu na kuheshimiana.
kwanini asizichane? kuambiwa alikuwa ana mtu haina shida but kuona na picha inauma sana sana bana.
 
lazima mmegawana watoto hapo na jamaa..
DNA fastaa..kimbia kesho..

.....when a womans' fed up...
 
Na ukute jina la mtoto mliye mzaa ana jina la huyo girl/boy friend wake wa zaman.Patamu hapo.......
Kwanini umuoneshe mtu picha kama hutaki zengwe hapo?
 
Wadau habari za jioni,poleni na kazi,
Watu Wameoana,wamezaa watoto 2/3. Mme/Mke anakuonyesha picha za Boyfriend/Girlfriend wake kipindi wako chuo kwenye album yake.yuko yeye katikati halafu pembeni kushoto na kulia marafiki zake.Hii imekaaje?

Ya kale hayanuki uliye ndani si wewe...
 
kwanini asizichane? kuambiwa alikuwa ana mtu haina shida but kuona na picha inauma sana sana bana.
Unajua tunatofautiana mitazamo na yote ipo sawa. Mimi akinionyesha wala sijikii vibaya cha msingi kwangu ni uaminifu wake tu. Huenda ana sababu za msingi za kutunza picha hizo na ndio maana anazo. Kwa kumuonyesha kua sijali nitamuuliza anajisikiaje anapoziangalia picha hizo.
 
Sasa uaminifu si ndo una kipimo.na picha zaweza kuwa kipimo cha kuonyesha unajali,"imani bila matendo imekufa"lazima aonyeshe matendo kwa matendo mazuri,sio ya picha,ina maana siku mkikwaruzana tu ukikumbuka zile picha unajua au ndo anapoozea kule au yule wa kwenye picha anampa kiburi nk.ni mawazo tuuu.
 
Mkuu unachosema hakina ubaya hata kidogo ndio maana nikasema tunatofautiana mitazamo. Kama nitaona jambo hili halinipendezi basi ni bora nikaongea na muhusika na kumwambia yaliyo moyoni mwangu. Pengine mlengwa hajui kama jambo hilo linamkera/kumkwaza mwenzi wake so ni bora kuambizana na ikibidi kwa mtu mwenye busara basi kusitisha hiyo kitu ya kutunza picha(kuziteketeza n.k)
 
Hahaha. Ukikua kuna vitu havikusumbui kabisaa. Unajiamini na unaamua furaha yako iwe wapi. Bhaaasss
 
Unajua tunatofautiana mitazamo na yote ipo sawa. Mimi akinionyesha wala sijikii vibaya cha msingi kwangu ni uaminifu wake tu. Huenda ana sababu za msingi za kutunza picha hizo na ndio maana anazo. Kwa kumuonyesha kua sijali nitamuuliza anajisikiaje anapoziangalia picha hizo.

swali km hilo huwa linanitatiza sana kujb,mana limeka kimtegomtego
 
ila monaco mi sion tatizo kwan itasaidia kuwajua wabaya wako cku ukimkuta tu mtaan amesimama na ex hawez kukudanganya
 
Duuu,si atakuambia walishaa chana wamesimama tu wanaongea,atakuambia kwani wewe unaosimama nao wote ni wapenzi wako hata kama hawako kwenye picha?
Ndio maana unaambiwa ni bora usikie kuna mtu anakula nanii wako bt sio kuona,
Tena wa siku hizi hawaogopi tena atakusalimia kwa heshima zote,utasikia bro shikamoo,hata kama sio mdogo kwako....
Bora azichane image isiwe kichwani,binadamu tunaanza kuumba picha ya kile tunachokiona kwanza kuliko tunachosikia....
 
Hahaha. Ukikua kuna vitu havikusumbui kabisaa. Unajiamini na unaamua furaha yako iwe wapi. Bhaaasss
King'asti unajua binadamu anaamini zaidi na kuumba kitu anachokiona,yaani picturise then ana actualise kuliko atavyosikia....
 
Back
Top Bottom