Hii ni haki kweli!

Hii ni haki kweli!

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,971
AswXsCgqczBIitGAcSwWB5BzseL-z3t25U_XiLwXoznf.jpg
 
Inategemea HAKI unaitafsiri vipi. Kwa wengi wetu neno HAKI linamaanisha 'jambo zuri kwa mtu fulani' lkn katika uhalisia wake, haki ya mtu yawezekana kuwa jambo baya kwake. Kwa mfano, huyo bwana mwenye kiroba mabegani yaweza kuwa kutaabika huko ni haki yake baada ya yeye kutumia fedha zake kwa pombe na nyama choma, na huyo mwenzake yeye alikula ugali zilizobaki akanunua toroli na sharubati.

By the way, inachekesha ati
 
Hakuna haki hapo labda tu jamaa aliamua mwenyewe kufanya mazoezi
 
Yan ndio hvyo kiongoz mtaj wa maskin nguv zake mwenyew.
 
Kwani hujawahi ona mtu anakodi gari limbebee koti na bakora,yeye anatembea mbele ili amulikiwe taa tu!!?
 
Back
Top Bottom