Nahisi hicho ndo kigezo kikubwa walichokiangaliaWameangalia imewezekanaje CCM imerudi madarakani kwa namna walivyofanya mambo yao kwa miaka 50+ toka uhuru?
Kama ni ivo hata walofanya utafit nao ni vichaa na walioandika gazeti ni vichaa na mtoa mada nae ivo ivo so hizi ni habar za vichaa ivo tusixiamini.Binaadam wote ni vichaa, sema level za kua kichaa Ndo zimetofautiana ukitaka kujua hilo chunguza pindi mtu anapopata hasira, mambo anayofanya huwa hakuna tofauti na kichaa
Wameangalia imewezekanaje CCM imerudi madarakani kwa namna walivyofanya mambo yao kwa miaka 50+ toka uhuru?
Naiona picha ya sangaraNa kichaa mkuu ni ........
Kwenye Kioo au?Naiona picha ya sangara
Kwenye nyumba nyeupe iliyojengwa kwa magogoKwenye Kioo au?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kama ni ivo hata walofanya utafit nao ni vichaa na walioandika gazeti ni vichaa na mtoa mada nae ivo ivo so hizi ni habar za vichaa ivo tusixiamini.
Kama ni ivo hata walofanya utafit nao ni vichaa na walioandika gazeti ni vichaa na mtoa mada nae ivo ivo so hizi ni habar za vichaa ivo tusixiamini.
Binaadam wote ni vichaa, sema level za kua kichaa Ndo zimetofautiana ukitaka kujua hilo chunguza pindi mtu anapopata hasira, mambo anayofanya huwa hakuna tofauti na kichaa
Kama binadamu wote ni vichaa ila ni level tu inatofautiana, pia tukubali kuwa binadamu wote ni ma'genius' ila ni level tu inatofautiana!...