Hii ni game kongwe ya Call of duty wakija na mtindo mpya wa Battle royale

Erick Martie

JF-Expert Member
Jun 6, 2015
301
338
Hii ni game kongwe ya Call of duty wakija na mtindo mpya wa Battle royale, kutoka kutoka kampuni ya ACTIVISION, game ya style hii ndio mtindo unaopendwa kwa nyakati hizi sababu unaweza kucheza na marafiki zako pamoja na wengine katika wakati mmoja na kushirikiana!

Call of duty battle royale tayari inapatikana katika simu na tablets ikiwa na mtindo wa kufanana na PUBG, lakini sasa wanakuletea katika consoles Playstation, Xbox na Pc ambayo wote mnaweza kucheza kwa pamoja licha ya kutumia platform tofauti japokuwa ikiwa improvement kubwa tofauti na mobile devices.

Game hii imetolewa bure kabixa kwa watumiaji wote, ni swala la wewe na bundle lako katika kudownload game hii ambayo kwa watumiaji wapya inachukuwa 83GB - 101GB..

Kama unadownload kupitia PC andika "Warzone" na hakikisha Battle.net umeistall kwnye PC yako. Game hii leo ndo imeanza kupakuliwa rasmi.
Hayakazi kwenu gamers...

Ukifanikiwa kudownload share nasi...
20200310_063702.jpeg
20200310_063821.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamu wa game za siku hizi lazima uwe online ili uweze kucheza na wenzako ktk real time, muda wa kucheza na computer daily ishapitwa na wakati, mtindo wa kucheza game kwa streaming ndo habari ya mjin nowdays
Ndio tatizo hua nachukia sana hapo tuu Bora nikomae na FPS nyingine ambazo ni offline

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom