Battle Royal Games

Pubg King

Member
Apr 30, 2020
21
45
Habarini nyote, kama mnavyofahamu Battle royal games zimekuwa popular na kukimbiza kwa kuingiza earnings almost everyday.

Ningependa kujua kati za hizi games Battle royal lipi ambalo unacheza current
Binafsi nalikubali Pugb pamoja na call of duty pamoja Apex of legend linaoneka zuri sijawahi jaribu bado

1_LALRdXhj9voAoRIAASEvOQ (1).png
Call-of-Duty-Warzone-1.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom