Hii ni game kongwe ya Call of duty wakija na mtindo mpya wa Battle royale

Nimecheza game moja la Offline linaitwa DRONE SHADOW STRIKE lipo vizuri sanaa!!..
 
Screenshot_20200310-190804.png
.
 
Hii hata sio ya kuogopesha naamini computer yoyote yenye uwezo wa RAM GB 4 inaweza kurun hiyo game, reason hata kwenye simu CALL OF DUTY MOBILE wanasema minimum requirement kuanzia ram gb 3 wakati uhalisia hata RAM GB 2 inacheza (kwenye simu yangu inacheza poa RAM 2GB). Hizo ni factor zao za technical but in reality game zinacheza hata kwa game ndogo chini ya hapo.
SO RAM SIO ZA KUZIOGOPA...
20200311_184437.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hata sio ya kuogopesha naamini computer yoyote yenye uwezo wa RAM GB 4 inaweza kurun hiyo game, reason hata kwenye simu CALL OF DUTY MOBILE wanasema minimum requirement kuanzia ram gb 3 wakati uhalisia hata RAM GB 2 inacheza (kwenye simu yangu inacheza poa RAM 2GB). Hizo ni factor zao za technical but in reality game zinacheza hata kwa game ndogo chini ya hapo.
SO RAM SIO ZA KUZIOGOPA... View attachment 1384500

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye pc hizo requirement hazikwepeki mkuu
 
call of duty mobile bado sana
tusubr pubg ikichoka kuongoza ndo tutaongelea vigame vingne mjini
😁😁😁😁😁😁
 
Hii ni game kongwe ya Call of duty wakija na mtindo mpya wa Battle royale, kutoka kutoka kampuni ya ACTIVISION, game ya style hii ndio mtindo unaopendwa kwa nyakati hizi sababu unaweza kucheza na marafiki zako pamoja na wengine katika wakati mmoja na kushirikiana!

Call of duty battle royale tayari inapatikana katika simu na tablets ikiwa na mtindo wa kufanana na PUBG, lakini sasa wanakuletea katika consoles Playstation, Xbox na Pc ambayo wote mnaweza kucheza kwa pamoja licha ya kutumia platform tofauti japokuwa ikiwa improvement kubwa tofauti na mobile devices.

Game hii imetolewa bure kabixa kwa watumiaji wote, ni swala la wewe na bundle lako katika kudownload game hii ambayo kwa watumiaji wapya inachukuwa 83GB - 101GB..

Kama unadownload kupitia PC andika "Warzone" na hakikisha Battle.net umeistall kwnye PC yako. Game hii leo ndo imeanza kupakuliwa rasmi.
Hayakazi kwenu gamers...

Ukifanikiwa kudownload share nasi... View attachment 1382578View attachment 1382579

Sent using Jamii Forums mobile app
Hixi graphics uwa sielewi elewi wanazifanikishaje na kutengeneza uhalisia wa mambo.
 
Karibuni tucheze Call of Duty mobile, mchezo utaanza saa 11 kamili jioni hii kwa masaa ya kibongo so kama utakuwa tayari click link hapo uweze kufanya Registration ya kujiunga hapo wadau ni free tu. Angalau dk 20 kabla ya mchezo kuanza uingie kwenye link u'confirm uwepo wako, Karibuni Tuburudike Call of Duty Battle Royale ndo habari ya Mjini

Leo Jumamosi ya kuburudika wadau

Link Kwa ajili ya kuweka uwepo wako wa ajili ya mchezo ni free tu, tunacheza kwa starehe zetu!


Karibuni wadau, kumbuka saa 11 jioni ya leo mchezo unaanza!

"Heroes don't wear Caps, they wear Dog Tags"


View attachment 1748428
Screenshot_20210410-164021.jpg
View attachment 1748429
 
Back
Top Bottom