Hii ni fashion ama kujionea mengi?

Hii ni fashion ama kujionea mengi?

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,871
Reaction score
23,488
15094902_10154855674096907_8016720008723654831_n.jpg
 
Huyo wa upande wa kushoto ana macho na midomo mizuriii, kinachonishindaga kutumia hayo madude ni harufu mweeh hata zile wanasemaga wameweka fleva sijui ya chocolate sijui strobeli aaah rababendi ni rababendi tuu shombo yake iko pale pale...
 
Yaani hiyo haina kupoteza muda, ukimuona anakwenda maliwatoni tu mfuate huko huko fasta.
 
My Goodddd!!!!!! hayo macho mweee!!! hicho kipaza kilivo shikwa mwee!! hzo nguo mweee!!! hili baridi sasa..........
 
Huyo wa upande wa kushoto ana macho na midomo mizuriii, kinachonishindaga kutumia hayo madude ni harufu mweeh hata zile wanasemaga wameweka fleva sijui ya chocolate sijui strobeli aaah rababendi ni rababendi tuu shombo yake iko pale pale...
Hahhha kasie usinchekeshe mwenzio, mpo wengi msiopenda kutumia hyo kitu lakini ndo mabingwa wa kuogopa mimba
 
Umejuajeeee? siku ya tukio ikiwa ni hatari, nakuwaga macho kama mshika kipenga wa kutangaza mpira umeisha. Nikiona dalili za uji kuanza kumwagika hata awe amenibana engo gani weeeh nachomoa kama nimerukiwa na chura hahahaha nakumbukia machejo ya wakati nacheza rede enzi hizo.
Utasikiaa aaaaahhhggg mambo gani hayo ya kumwagana aaah hhahahahahahaa mie ndo nshakwepa hivo.
 
Hahahahaaaa umenifanya nicheke mbele ya watu ofcn ujue...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbio zote hzo ukute umechelewa kuruka zile za mwanzo zenye kasi zimeshaingia tayari,
Ukute jitu lenyewe linamaguvu kama mimi mbna utafurukuta hapo hapo sikuachiiiii [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahahahahahhahaaaa uzuri wake na mie nna nguvu, wacha watu wafanye diet zao kujikondesha mie na unene wangu huu kuna mahali huwa nautumia na unanisaidia.
Yaani mie nikiona dakika za majeruhi zimekaribia naanzaje kumpa mambo kiasi kwamba anajisahau kama yuko duniani. Basi akiwa dunia ingine hukohuko mie ppprrrrrrr nachomoa na mpira umekwishaa ila nikitoka hapo nimenuniwa ujue hehehehehehe.

Basi ntajibebisha hapo na manjonjo kibao mara nimuimbie kuch kuch otahe kama mke wa Amitha Bachan mara nimchezee ngoma ya kikwao hehehehe atacheka mwenyewe utasikia hebu niondokee hapa wewe ushashindikanika basi naleta wine tunalisongesha hahahahahahah ila na mie ndo nshakwepa. Niko makini kuliko mpiga kipenga hehehehehehee.
 
Sijui wamelipwa kiasi gani wakakubali kuvalishwa hivyo.
 
Huyo wa upande wa kushoto ana macho na midomo mizuriii, kinachonishindaga kutumia hayo madude ni harufu mweeh hata zile wanasemaga wameweka fleva sijui ya chocolate sijui strobeli aaah rababendi ni rababendi tuu shombo yake iko pale pale...

Harufu yake ni kali sana na inakaa mda mrefu. Sijui hapo wanajisikiaje?
 
Back
Top Bottom