Wee umeambiwa kamaliza form 4...unaleta maswala ya combinations....ujinga ujinga tu...HKL,HGE
Sasa baada ya division we uoni atauliza combination gani inamachiWee umeambiwa kamaliza form 4...unaleta maswala ya combinations....ujinga ujinga tu...
Hakuna kufeli kwenye masomo.Aende VETA akapate ujuzi.Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Geo ana F so naona HKL pekeeHKL,HGE
Na KLFGeo ana F so naona HKL pekee
Ana three ya 25Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Hapo umemwambia DIVISION au COMBINATION. In fact huyo Adv kwa serikali hawezi kwenda hata kwa dawa. Km ni. KE wakimhurumia sn atapangiwa chuo ila siyo ualimu maana hana sifa. Otherwise aende Private tu.HKL,HGE
Ni division three ya points 25Civics C pass =3
History C pass = 3
Kiswahili C pass =3
Commerce C pass = 3
English D pass = 3
Biology D pass = 4
Georgraphy F = 5
Bookkeeping F = 5
Mathematics F= 5
Hiyo ni division 4
Grading zimebadilika siku ama? Ana 4 C = point 12, Ana D 2 point 8 ana F =point 5, total points 25Four ya 26
Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
Atakua na div3.Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy F
Bookkeeping F
Mathematics F
26pts umepataje?Four ya 26
Math ana F anaenda HGE ya wapi?HKL,HGE