Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,037
- 22,583
Bora huyu kuliko wale manesi kwenye hospital zetu unakuta mmepanga foleni mnaumwa haswa halafu wao wako ndani wanapiga stori za matukio ya jana
Hapo utaambiwa subiri kidogo system inasumbuaMi nilifikiri hapa bongo tu kumbe haya yapo hata huko na mi maara nyingi hunipata siku ya kununua luku kosa ukimkuta dada na anaongea na simu yake basi kidogo tega shikio lako utayasikia na kuyasikia lakini usimwangalei usoni ndo atazidi na ule ubii show wake na simu yake ya kupaa na siyo ya promishini hiyo