Hii ni dharau au mazoea?

Hii ni dharau au mazoea?

Inategemea na context, ila mara nyingi yoyote anayetumia 'wewe' kuku-address anakudharau.
 
Sasa kama demu anakupa papuchi na unaitafuna utakavyo,kukuita wewe ndo ikukoseshe amani mkuu?
 
Habari wakuu,

Hivi unapokuwa na mpenzi wako kisha mara kadhaa akawa anakuita "wewe" badala ya jina lako au yale ya mahaba mfano bby, honey, swity na mengine kibao je hii inakua ni dharau au kuchokana
.

akuite honey kwa lip? Amekuomba just laki 2 ukamnyima kwa kigezo kuwa mapenzi sio pesa, nani kasema mapenzi sio pesa? Ulimkuta ameng'aa sasa ivi kapauka kisa ubahili wako. Kwa nn asikuite wewee????
 
ha ha ha ha ha! Achekesha mm weye. Wewe mkuu luckyline ungekuwa ni she wake huyo jamaa na wote weny kufkiri hivyo***--angelazwa mahututi muhimbili aysee! Me napenda dem mwenye changamoto...maana nafurahia kuzipanchi.
 
akuite honey kwa lip? Amekuomba just laki 2 ukamnyima kwa kigezo kuwa mapenzi sio pesa, nani kasema mapenzi sio pesa? Ulimkuta ameng'aa sasa ivi kapauka kisa ubahili wako. Kwa nn asikuite wewee????

Hmna mkuu pesa anapata ila anasema huwa anajisahau eti ila uzur huwa hamiss promic hata cku moja
 
Halafu nimezoea sana hilo neno "wewe".

Kuna likurya limoja job nilikuwa namuita "wewe" akawa anamind kila siku. Ataongea hapo baada ya dakika 5 nimesahau namuita tena "wewe". Akahama ofisi.
 
haaa haaa na ww hmna namna nyingine kupigwa tu
 
ukitaka kuitwa majina mazuri we mwaga hela tu.
akiamka mpe, mkikutana mpe!!!
we endelea kumpa hela
 
Ningekuwa mi akija kweny 6by6 ndio namwonyesha jina la kuniita
 
akuite honey kwa lip? Amekuomba just laki 2 ukamnyima kwa kigezo kuwa mapenzi sio pesa, nani kasema mapenzi sio pesa? Ulimkuta ameng'aa sasa ivi kapauka kisa ubahili wako. Kwa nn asikuite wewee????

kwani kazuia kusepa??? mi mke wangu aniite ww atajikuta ndugu zake wanamsubir pembeni ya kitanda cha hospital puani ana mirija ya kupumulia hewa ya oxgen
 
Back
Top Bottom