Hii ni dharau au mazoea?

Hii ni dharau au mazoea?

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Habari wakuu,

Hivi unapokuwa na mpenzi wako kisha mara kadhaa akawa anakuita "wewe" badala ya jina lako au yale ya mahaba mfano bby, honey, swity na mengine kibao je hii inakua ni dharau au kuchokana
.
 
nishamwambia mara nyingi lakini kuwa sipendi lakini akirudia anakwambia kuwa amepitiwa
 
Jima TAMU huitwa MTU MTAMU.
Ukweli nikuwa wewe sio hny, sio bby, sio switi, maana yake nikuwa wewe SIO.
 
Kwanza nikuulize anakuita kwa tone ipi? ulishamwambia kama hupendi!! kuna baadhi ya mambo si ya kuyapa sana kipaumbele kama haya, je kama umemuudhi anakuitaje kila siku au??
 
Mkuu Kitego...., kama she wako, awe mke/dem/mchepuko/friend ama kwa namna yoyote ya ukaribu wenu, ana kuita hivyo "*.WEWE.*". Unangoja nin hapo hupendi kuitwa hivyo??? Na kama hupendi/hutaki kiitwa hivyo, kwanini huchukui hatua yeny kumaanisha kutokukubaliana na jina hilo??? Kama unachukia hali hiyo, na bado ni dhaifu kufanya uamuzi ufaao kwa faida yakoooo, mlaumu Mungu kukuumba mwanaume, na utafute kidume kikuoe ili uone how men decide anapopuuzwa na she.

SINA HURUMA NA MWANAUME ANAYELIA LIA NA TATIZO AMBALO SULUHU YAKE NI YEYE MWENYEWE. Ni kuamua tu kama Mungu alivyoamua, na mambo yanakuwa.

mbona kama umeongea pumba au mgeni na kifaa unachotumia
 
mbona kama umeongea pumba au mgeni na kifaa unachotumia

Umetaka mawazo ya watu mbalimbali basi pokea alafu utayachanganua mwenyewe
Utakaloliona pumba utaliacha na kuchukua unaloliona linafaa

Sasa utajiskiaje pale endapo ukatoa mada yako alafu ukakosa wachangiaji?
Maana wengine wataogopa ata kutoa ushauri wao kwako
Take care!
 
habari wakuu...hivi unapokuwa na mpenzi wako kisha mara kadhaa akawa anakuita "wewe" badala ya jina lako au yale ya mahaba M.F bby hny switi na mengine kibao je hii inakua ni dharau au kuchokana
ukitaka jibu zuri tumia google
 
Labda kaanza kukuchoka

Kama ni hivyo..., mrudishe zizini huyo ni mwana mpotevu***-ila ni kama bado unamhitaji. Uwezo wa kufanya hivyo unao. La, kama na wew umemchokaaa, muache aende zake***-hutajilaumu. Barabara ni pana, twaweza kupishana tu...maadamu tu-wahitaji.
 
Umetaka mawazo ya watu mbalimbali basi pokea alafu utayachanganua mwenyewe
Utakaloliona pumba utaliacha na kuchukua unaloliona linafaa

Sasa utajiskiaje pale endapo ukatoa mada yako alafu ukakosa wachangiaji?
Maana wengine wataogopa ata kutoa ushauri wao kwako
Take care!

kwahyo wataka kusema kwakua nimeomba ushauri basi hata ushauri wa kipuuzi kama wako niushangilie kisa watu wacomment!?
 
Siwezi nikakubali kua mpenz wako ke akikuita wewe,' ndo anakua kakuchoka !! hapana . Nasena iv kwa sababu kuna baadhi ya watu kukuita hayo majina matamu inakua nishugul na hajazoea kuyatamka majna kama ayo. Nasema ivo kwa sabab mm mwenyew kuna dem nlikua namuita wewe lakin nlikua nampenda sana. wakat mwingine labda hapend kukuita ayo majina kulingana na mazngra mliyopo, kwan lazma kilamtu ajue kinachoendelea juu yenu?
 
Back
Top Bottom