glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,854
- 4,693
Ni kweli mkuu lakini Mungu anapenda vitu vizuri ndio maana hata malakia ni wazuri na mbigu ni sehemu nzuri sana, Yesu ni handsome, shetani anafananishwa na jitu baya.Mungu hawez kukupa vyote ila anaweza kukupa vingi.
Handsome, genius etc. .
Picha Ya nani?Picha mkuu
Ya mahandsomePicha Ya nani?
Ya mahandsome[/QUOT
Mpaka picture?
Mkuu hana uhandsome wowote msema kweli mpenzi wa Mungu
Hata roho yako hapo inakusuta.Mkuu hana uhandsome wowote msema kweli mpenzi wa Mungu
Mkuu hana uhandsome wowote msema kweli mpenzi wa Mungu
Hata nafsi yko inakusutaMkuu hana uhandsome wowote msema kweli mpenzi wa Mungu
Acha inisute tu sioni uhandsome wowoteHata nafsi yko inakusuta
Ha!ha!nyeupe ni nyeupe haiwezi kuwa nyeusi kwa chuki binafsi dhidi Ya rangi husikaAcha inisute tu sioni uhandsome wowote