CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Bado wewe siyo muhenga
Weweeee subutu, mm hizo mambo zote nimezipitia. Tena mazungumzooo baada ya habari nimesikiliza nikiwa najitambua kabisa... au unakadharau haka kamwili??
Nimekula chumvi ndugu acha kabisa