Hii ni dedicatation kwa wanawake wote

Hii ni dedicatation kwa wanawake wote

Hahaaaa!!! We bwege sana nani alikwambia mwanamke anakomolewa?? Utawakomoa ndugu zako ukisha waletea ukimwi nyumbani
 
Hamna kitu kizurii kama kusamehe...na kumwomba Mungu akupe aliyemkusudia...Vinginevyo Unajitesaa mtoto wa kiume
 
"Chuki humchoma Yule anayeihifadhi... " unajikomoa mwenyew..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom