Hii ni dedicatation kwa wanawake wote

Hii ni dedicatation kwa wanawake wote

ilihali wapo dada zangu na mama yangu hao hawahusiani hapa!!

mliobaki ambao kaeni chonjo sababu uwezo ninao,nia ninayo na uthubutu ninao!

kiasi mlichoniumiza na kunisigina wanawake imetosha sasa vita nimetangaza kwa huyu niliemfanyia naona haijatosha na kiu yangu haijaisha ya kuwalipizia!

nilimvalisha pete nikampeleka kwetu akanipeleka kwao wazazi wote wakajua namuoa!lakini nilichofanya nikatembea na wadogo zake wawili na akajua kisha kwa uchungu na hasira akaja kunitupia pete ofisini mbele ya staff wenzangu sikujuta ila nilifurahi nikaona amepata kidogo kwa nilichotaraji!!

nachukia wanawake na sitawapenda kwa usaliti walionifanyia.siamini kama maisha yangu yaliyobaki nitapenda tena zaidi za kuigiza tu kama wema!!

ubaya unakuja kwamba uwezo ninao wa kumpata ninaemtaka na kumuumiza nitakavyo!am desperate to see them suffer!

mungu nisaidie kisasi nitaumiza wengi sana kwa kisasi.nitaumiza hata waliomizwa tayari sitajali
binafsi nitakua na shaka endapo kama mtoa post utakua ni MTU mzima

coz ni dhahiri kua huwezi shindana na papuchi

hata katika ........ we we ndie unayetoka jasho then INA lala ikiwa na maaana imechika na ule ndo uanaume sasa kama uana ume unafika stage una lala yaani una choka sembuse we we

umesema una sijui kila sababu za kuwapata sijui uwezo wa kulipiza kisasi

kumbuka uwezo wa kupata ukimwi pia unao
 
angalia usijekimbia ukapitikiza kwenu imean utakuta unaumiza hata dada zako ukijua huu wenzio wanajua ule
 
Mh visasi na chuki ni hatari kwa afya yako!
 
Pole kwa yaliokukuta... Ila Unavyozidi kulipiza kisasi ndo unavyizidi kujiangamiza. Waumize waliokuumiza usisambaze chuki yako kwa wadada wa watu walio innocent.
Ila na nyie sometimes mnatusababishia maumivu sana moyoni!!!
 
Cheers, Natamani niwe na mtoto mwenye habit kama hizo haha
 
hehhehehe wacha nicheke kama mazuri vile, dont worry wewe fanya malipizi coz hujakuwa bado, ukikuwa utaja juwa implication ya hayo unataka kufanya, utoto bwana!

pis of advice, LOve yourself more...achana na pussies!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom