NtakuzibuaNi jamaa yako au Mwanamke wako?
kadunga kavukavu kaukwaaaaaa...Ni jamaa yako au Mwanamke wako?
Acha kutuongopea! Atakuwa mwenza wake! Tayari umeishaukwaa kamanda!Wewe unaona idadi ya vidonge ni 30 halafu unauliza uliza
Msome GenuineMan hapo juu.. Anaweza au unaweza kupona usiogope 😃😃Hahahaa haya ni mimi. But I'm sad for him. Yaani siwezi amini kama kweli kashaunganishwa
Ukipata maelezo ya kutosha ukae nae chini umwelekeze, kusikitika hapa haitamsaidia chochoteYeaah ila inavyoonekana hajui matumizi ya pep ni nini maana yeye anasema ni uti. Duuh sijui yupo humu. Anisamehe kama yupo humu I just feel sorry for him
Unataka kusema kaenda kuchukua "PEP" ili atumie kutibu UTI.Yeaah ila inavyoonekana hajui matumizi ya pep ni nini maana yeye anasema ni uti. Duuh sijui yupo humu. Anisamehe kama yupo humu I just feel sorry for him
Kama aliweza kukuonyesha Maanake we Ni mshikaji wake, ongea nae kishikaji.... Kwanza Ni Wewe mwenyewe Hakuna cha jamaa wala Nini😂😂😂😂Namuanzaje... Duuh yaani sijui nitamuelezaje.
Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.
Jokes aside
Kanieleza anazitumia mke wake hajui coz itakua soo atauliza uti kaitoa wapi